Gen z wa bongo hawana time na siasa za nchi yetu

Gen z wa bongo hawana time na siasa za nchi yetu

Hii ni dalili mbaya,kwa wanaokumbuka wakongo man walizoea kucheza ndombolo ya solo,
leo hii wamekuja kujitambua kuwa starehe zinanoga ukiishashiba,leo unaona kinachoendelea.
Tunaishia kuilaumu rwanda kwamba ipo nyuma ya m23 lakini ukiangalia kama kweli rwanda imeingia ni kwamba imekaribishwa na wananchi wenye njaa ya kutengenezwa.
Hakika mkuu hii tanganyika akija mtu wa kudhamn kama M23 anatupata wengi
 
Wakuu hawa madogo bwana wana zingua hawajali kuhusu maswala ya kiutawala katika taifa letu pendwa la TANZANIA wao wana waza nyandu tu.

Inanipa ukakasi kijana wa chuo haoni maana ya kufuatilia sheria na kanuni za kiutawala katika taifa letu ila yupo aware na connection ya mtoto wa mchungaji. Aisee taifa la miaka ijayo ya 2050 litakua na wazee wa hovyo sana.

Wanacheleweshewa boom ila kesho utawakuta wanaimba mama samia 5 tena.

WAmeua elimu sasa wanaua na maadili ya vijana wetu wa 2000's. Leo tunaona sawa ila miaka 10 mbele tutajuta.

Vijana mnahubiriwa amani na mnaambiwa ajira sio jukumu la serikali si mkatae kuwapigia kura..? Mnaakili na utashi amkeni
Mkuu utabinula sarakasi zako zote ila dunia inahitaji kila aina ya binadamu tangu na tangu. Kusema eti hawana tim na siasa, vyuoni wapo wapenda siasa na wapenda vitu vingine, dunia nzima haiwezi kufua kitu kimoja. Kwamba 2050 itakuaje, ikua hivyo itakavyokua. Dunia ina zaidi ya umri wa 7B kila kizazi kilikua na watu waliowashangaa wenzao kwa matendo yao. Kila kizazi kilikua na hofu ya mbele itakuaje, ila hio mbele walioihofia ndio leo hii sasa, ipo hivi ilivyo. Na hio 2030 unayoiwazia itaku itakavyokua kulingana na watakaokua wanaishi wakati huo.

Uzi wako haina tofauti na zile story za enzi zetu ilikua vile, kila zama na kitabu chake. Acha vijana waishi na kufanya yawapasayo kwa wakati wao
 
Hii ni dalili mbaya,kwa wanaokumbuka wakongo man walizoea kucheza ndombolo ya solo,
leo hii wamekuja kujitambua kuwa starehe zinanoga ukiishashiba,leo unaona kinachoendelea.
Tunaishia kuilaumu rwanda kwamba ipo nyuma ya m23 lakini ukiangalia kama kweli rwanda imeingia ni kwamba imekaribishwa na wananchi wenye njaa ya kutengenezwa.
Unataka kusema wakongo wasingecheza ndombolo wasingelua wanapigana leo? Sio kweli. Zipo namna mbili tu, moja inchi yao isingekua endowed, mbili wanaoila waamue tu kuituliza nchi.
 
Watz Wana IQ kubwa sana, ppls are fighting for they're future welliness!, wanasiasa ni wapigaji tu, ndio maana kutwa kushinda kwa waganga wa kienyeji.
Watakupiga mawe, ila upo sahihi. Kijana mwenye akili hatakaa apige domo la siasa akaacha kupambania mambo yake, unless awe na manufaa ya moja kwa moja
 
Mkuu utabinula sarakasi zako zote ila dunia inahitaji kila aina ya binadamu tangu na tangu. Kusema eti hawana tim na siasa, vyuoni wapo wapenda siasa na wapenda vitu vingine, dunia nzima haiwezi kufua kitu kimoja. Kwamba 2050 itakuaje, ikua hivyo itakavyokua. Dunia ina zaidi ya umri wa 7B kila kizazi kilikua na watu waliowashangaa wenzao kwa matendo yao. Kila kizazi kilikua na hofu ya mbele itakuaje, ila hio mbele walioihofia ndio leo hii sasa, ipo hivi ilivyo. Na hio 2030 unayoiwazia itaku itakavyokua kulingana na watakaokua wanaishi wakati huo.

Uzi wako haina tofauti na zile story za enzi zetu ilikua vile, kila zama na kitabu chake. Acha vijana waishi na kufanya yawapasayo kwa wakati wao
Umekasirika GEN Z ..? Wewe unawaonaje kwa mtazamo wako ..?
 
Nimefanya kuandika huu uzi au huoni uzi. Alafu mimi baba yako uwe na aadabu
Umefanya nini zaidi kuandika Kila mtu kaandika sana humu keyboard warrior Amna mtu wa kufa tanzania hii Kwa ajili Yako pambana na Hali Yako Kila mtu kaja duniani kivyake
 
Back
Top Bottom