Gen z wa bongo hawana time na siasa za nchi yetu

Gen z wa bongo hawana time na siasa za nchi yetu

Jinga kweli unafikili humu sisi ni wajinga wewe ni keyboard warrior unakuja hapa kusakazia gen z mfupa huku wewe ukikalisha makalio ndani Sasa nasema hivi hamna mtu wa kupambania pambana na Hali Yako watu si wajinga
Unasemea watu wewe ni m#und#
 
Jinga kweli unafikili humu sisi ni wajinga wewe ni keyboard warrior unakuja hapa kusakazia gen z mfupa huku wewe ukikalisha makalio ndani Sasa nasema hivi hamna mtu wa kupambania pambana na Hali Yako watu si wajinga
Unakazimisha ugomvi au hujala au unataka kukazwa..? Maana unataka ugomvi wa lazima sawa twende
 
Wakuu hawa madogo bwana wana zingua hawajali kuhusu maswala ya kiutawala katika taifa letu pendwa la TANZANIA wao wana waza nyandu tu.

Inanipa ukakasi kijana wa chuo haoni maana ya kufuatilia sheria na kanuni za kiutawala katika taifa letu ila yupo aware na connection ya mtoto wa mchungaji. Aisee taifa la miaka ijayo ya 2050 litakua na wazee wa hovyo sana.

Wanacheleweshewa boom ila kesho utawakuta wanaimba mama samia 5 tena.

WAmeua elimu sasa wanaua na maadili ya vijana wetu wa 2000's. Leo tunaona sawa ila miaka 10 mbele tutajuta.

Vijana mnahubiriwa amani na mnaambiwa ajira sio jukumu la serikali si mkatae kuwapigia kura..? Mnaakili na utashi amkeni
bongo kuna Gen mazuzu...
 
Nawashauri wazazi wenye hela pelekeni watoto shule nzuri ila wajitambue shida kubwa ni elimu.
 
Back
Top Bottom