B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Hii ni dalili mbaya,kwa wanaokumbuka wakongo man walizoea kucheza ndombolo ya solo,Wakuu hawa madogo bwana wana zungua hawajali kuhusu maswala ya kiutawala katika taifa letu pendwa la TANZANIA wao wana waza nyandu tu. Inanipa ukakasi kijana wa chuo haoni maana ya kufuatilia sheria na kanuni za kiutawala katika taifa letu ila yupo aware na connection ya mtoto wa mchungaji. Aisee taifa la miaka ijayo ya 2050 litakua na wazee wa hovyo sana.
Wanacheleweshewa boom ila kesho utawakuta wanaimba mama samia 5 tena.
WAmeua elimu sasa wanaua na maadili ya vijana wetu wa 2000's.
Leo tunaona sawa ila miaka 10 mbele tutajuta.
Vijana mnahubiriwa amani na mnaambiwa ajira sio jukumu la serikali si mkatae kuwapigia kura..? Mnaakili na utashi amkeni
Vijana wa tanzania wako busy kubishana mpiraWakuu hawa madogo bwana wana zingua hawajali kuhusu maswala ya kiutawala katika taifa letu pendwa la TANZANIA wao wana waza nyandu tu.
Inanipa ukakasi kijana wa chuo haoni maana ya kufuatilia sheria na kanuni za kiutawala katika taifa letu ila yupo aware na connection ya mtoto wa mchungaji. Aisee taifa la miaka ijayo ya 2050 litakua na wazee wa hovyo sana.
Wanacheleweshewa boom ila kesho utawakuta wanaimba mama samia 5 tena.
WAmeua elimu sasa wanaua na maadili ya vijana wetu wa 2000's. Leo tunaona sawa ila miaka 10 mbele tutajuta.
Vijana mnahubiriwa amani na mnaambiwa ajira sio jukumu la serikali si mkatae kuwapigia kura..? Mnaakili na utashi amkeni
Wapo busy na Simba na yanga,kunywa pombe, shisha na bange , kuangalia movie na music uchawa, ku bet, umarioo,kucheza playstation, ku bet, kudanga ,ushoga na kufuatilia mipira ya ulaya haya ni kwa uchache.Wakuu hawa madogo bwana wana zingua hawajali kuhusu maswala ya kiutawala katika taifa letu pendwa la TANZANIA wao wana waza nyandu tu.
Inanipa ukakasi kijana wa chuo haoni maana ya kufuatilia sheria na kanuni za kiutawala katika taifa letu ila yupo aware na connection ya mtoto wa mchungaji. Aisee taifa la miaka ijayo ya 2050 litakua na wazee wa hovyo sana.
Wanacheleweshewa boom ila kesho utawakuta wanaimba mama samia 5 tena.
WAmeua elimu sasa wanaua na maadili ya vijana wetu wa 2000's. Leo tunaona sawa ila miaka 10 mbele tutajuta.
Vijana mnahubiriwa amani na mnaambiwa ajira sio jukumu la serikali si mkatae kuwapigia kura..? Mnaakili na utashi amkeni
Kweli mkuu wapo busy kutafuta connection ya mtoto wa pastorVijana wa tanzania wako busy kubishana mpira
Sana mkuu na kutindukiwa marinda kmmk zaoWapo busy na Simba na yanga,kunywa pombe, shisha na bange , kuangalia movie na music uchawa, ku bet, umarioo,kucheza playstation, ku bet, kudanga ,ushoga na kufuatilia mipira ya ulaya haya ni kwa uchache.
Shauri zao nchi inauzwa vigogo wanapishana ATMWatatukuja jishtukia too late wanapambana na mambo wasioweza badilisha na hayana umaaana wowote
Uongo mkuuIlani ijayo vijana wa vyuo wameahidiwa K4 (Kula, Kusoma, Kulala na Kazi)
Aaah kmmk yaanMtu anavaa hivi unategemea kichwani atawaza nini?View attachment 3352071
Korokoro ndio nn mkuu. ?Wanajua kubet na kucheza korokoro.
Solution ..?Watz Wana IQ kubwa sana, ppls are fighting for they're future welliness!, wanasiasa ni wapigaji tu, ndio maana kutwa kushinda kwa waganga wa kienyeji.