Gen z wa bongo hawana time na siasa za nchi yetu

Vivijana vinawaza kubeti na kupiga puchu kwapicha za mishangazi...
Elimu imevifanya viogaaa alafu vimbea!
Shangaa mtu anatetemeka na kuogopa kuongea kingreza wakati wachina wanafoka nahiyohiyo broken inglishi
 
Umefanya nini zaidi kuandika Kila mtu kaandika sana humu keyboard warrior Amna mtu wa kufa tanzania hii Kwa ajili Yako pambana na Hali Yako Kila mtu kaja duniani kivyake
Unataka ujue😆😆😆 wewe fwala aisee so unataka unijue nje ya hapa. Sahau
 
Unataka ujue😆😆😆 wewe fwala aisee so unataka unijue nje ya hapa. Sahau
Hasira za nini umefanya nini we mzeee sababu hamna mtu atoe roho yake kisa mjinga kama wewe uishi vizuri pambana na Hali Yako
 
Mjinga mm ni bora kuliko mlumbavu wewe. Tuishie hapa
Fanya kazi Amna mtu atakae ingia barabarani kufa Kwa ajili Yako yaani wewe ukalishe matako ndani ya shuka ushike simu uandike wenzio waingie rodi hiyo kitu hamna tanzania hii pambana na Hali Yako
 
Njaa kiongozi,anaona aache kutafuta hela ya kula kwa siku hiyo aanze siasa?
 
Fanya kazi Amna mtu atakae ingia barabarani kufa Kwa ajili Yako yaani wewe ukalishe matako ndani ya shuka ushike simu uandike wenzio waingie rodi hiyo kitu hamna tanzania hii pambana na Hali Yako
Nani ananifanyia kaz zangu. Unaongea kama.huna ubongo kali una 💩💩 njoo nkulishe mwehu wewe
 
Wako busy na chudai huwatoi
 
Gen Z bongo wana akili. Kama tuna Wanasiasa kama mdudu wa Arusha, mzee wa mikeka na Braza K Mapovu, vijana bora waendelee na mambo yao.
 
Kwanini usianzishe wewe, kwanini usubiri watu waanzishe wewe ujiunge? Aliyeanzisha CCM na Kuandika katiba, unamponda, ila wewe hutaki kuanzisha unachoona ni ukombozi wao kweli, upo sawa sawa kweli? Au ni walewale tu, akili tone tone, mihemko lita 5.
Mm nisha kuwa mzee sasa wajukuu wataanzisha
 
Wapi nimesema nipambaniwe.. ? Wewe fala.sana una lazimisha maneno kima wewe
Jinga kweli unafikili humu sisi ni wajinga wewe ni keyboard warrior unakuja hapa kusakazia gen z mfupa huku wewe ukikalisha makalio ndani Sasa nasema hivi hamna mtu wa kupambania pambana na Hali Yako watu si wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…