Gen z wa bongo hawana time na siasa za nchi yetu

Jinga kweli unafikili humu sisi ni wajinga wewe ni keyboard warrior unakuja hapa kusakazia gen z mfupa huku wewe ukikalisha makalio ndani Sasa nasema hivi hamna mtu wa kupambania pambana na Hali Yako watu si wajinga
Unasemea watu wewe ni m#und#
 
Jinga kweli unafikili humu sisi ni wajinga wewe ni keyboard warrior unakuja hapa kusakazia gen z mfupa huku wewe ukikalisha makalio ndani Sasa nasema hivi hamna mtu wa kupambania pambana na Hali Yako watu si wajinga
Unakazimisha ugomvi au hujala au unataka kukazwa..? Maana unataka ugomvi wa lazima sawa twende
 
Vivijana vinawaza kubeti na kupiga puchu kwapicha za mishangazi...
Elimu imevifanya viogaaa alafu vimbea!
Shangaa mtu anatetemeka na kuogopa kuongea kingreza wakati wachina wanafoka nahiyohiyo broken inglishi
Hahah sio poa mkuu
 
bongo kuna Gen mazuzu...
 
Nawashauri wazazi wenye hela pelekeni watoto shule nzuri ila wajitambue shida kubwa ni elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…