Gen z wanasema tarehe 9 December wanakuja na silaha za moto

Wengi unataka wangapi kwamba oktoba watu walikua mia sio
 
Na iwe hivyo naumia sana ndugu zangu Watatu wamepigwa risasi nyumbani kabisa
 
Huyo ni polisi habari hii ni mbaya kwake usifanye. Mchezo na. Bunduki hata wao wanaiogopa🤣🤣🤣🤣
Majeshi ya Tanzania wao wamezoea kutesa laia ambao hawana silaha ,
Hata hao wauwaji ingekuwa wanasilaha raia wasingefika mitahani huko
 
Sa hayo maandamano au vita?
Wazungu wametuzidi sana wakuu! Yaani kule magharibi maandamano watu hawachomi nyumba Wala mali za uma!
Hadi wanafika hapo hizi hatua zote walizipitia, we fuatilia tu. Watu wamepasuana, wameuana sana hadi kufika hatua ya kusema waheshimiane ni hasara kubwa zilitokea. Hadi watu kukaa chini na kubainisha haki za Binadamu ujue walipasuana sana..
 
Una tia huruma SMG unaijua?
 
Wazungumze na nani kaka wakati viongozi wameziba masikio.

Siungi mkono gen z kutumia siraha za moto
Hotuba ya kwanza baada ya kuapishwa samia mwenyewe alizungumza yupo tayari kwa mazungumzo, so jenzii kazi kwenu.
 
Sa hayo maandamano au vita?
Wazungu wametuzidi sana wakuu! Yaani kule magharibi maandamano watu hawachomi nyumba Wala mali za uma!

Huku Tanganyika polisi wanatutafuta majumbani na kutupigia shaba!tuna haki ya kujitetea!
Mdogo wangu Simike Mbeya alichukuliwa toka tarehe 28 mpaka leo haieleweki yupo wapi,eti kisa kujiita Mr M4C,INANIUMA SANA
 
Akili huna ingekua wachache shuguli zingesimama siku 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…