Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,772
- 4,544
Hotuba ya kwanza baada ya kuapishwa samia mwenyewe alizungumza yupo tayari kwa mazungumzo, so jenzii kazi kwenu.
Wamezima mitandao wiki nzima.Akili huna ingekua wachache shuguli zingesimama siku 6
Una akili Gani wewe. Polisi walipaswa wadeal na watekaji mafusadi wasio heshimu utu wa mtanzania n.k na sio waandamanaji. Ukombozi wa taifa bado sana ikiwa tunawafu wanao waza kama wewePolepole wakuu.Msifike huko tafadhali unfortunately Polisi nao wameshindwa kudeal na nyie waandamanaji wanatusumbua majumbani.
Halafu anakuambia watu waliokua wachacheWamezima mitandao wiki nzima.
Huko bongo huruhusiwi kuandama kwa vyovyote vile.Sa hayo maandamano au vita?
Wazungu wametuzidi sana wakuu! Yaani kule magharibi maandamano watu hawachomi nyumba Wala mali za uma!
Hatutaki mazungumzo na wauwaji watoke wafungwe serikali iundwe upyaHotuba ya kwanza baada ya kuapishwa samia mwenyewe alizungumza yupo tayari kwa mazungumzo, so jenzii kazi kwenu.
Nitakuwa wa kwanza kukutungua wewe.Ikiwezekana tuanze na mapolisi ama familia zao.
🤣🤣🤣Huyo ni polisi habari hii ni mbaya kwake usifanye. Mchezo na. Bunduki hata wao wanaiogopa🤣🤣🤣🤣
kwamba unataka kupimana ubavu na serikali, hatutaki baadae tuanze kuskia sjui tunataka tuzike wenyewe maaana tushawaonyaTarehe 9 December ni siku ya maandamano gen z wa tanzania wanasema wanakuja na silaha za moto
Police mjipange kukabiliana na moto maana hujui yupi atakua na silaha za moto mtasikia tu zimetua kichwani
Msijitoe akili kuanza kupiga risasi watu kitawaramba
Huu ni ushauri tu
Tafuteni mazungumzo hizo mbinu za violence mtazika jenzii wa kutosha.
Tarehe 9 December ni siku ya maandamano gen z wa tanzania wanasema wanakuja na silaha za moto
Police mjipange kukabiliana na moto maana hujui yupi atakua na silaha za moto mtasikia tu zimetua kichwani
Msijitoe akili kuanza kupiga risasi watu kitawaramba
Huu ni ushauri tu
Kauli nyepesi kwenye mambo ya msingi , hivi nikuulize .Hii mikwara yenu ya kitoto ndiyo huwa inawaingiza kwenye matatizo. Tuko hapa mtarudi kutia huruma na kuwalilia wazungu wawasaidie.
Mbinu rafiki unazikumbuka sasa hivi, endeleeni kuwashawishi waandamane. Nyie si mko nje huko mnawapeleka wenzenu kama maboya.Kauli nyepesi kwenye mambo ya msingi , hivi nikuulize .
Hivi unadhani utolewaji wa tarehe za maandamano na uratibujibuji wa kumalizana na watesi wao kimyakimya ,upi kwako ungeliona ni utaratibu mzuri?
Tusimumunye maneno ,tuchukulie nikweli raia wameamua kutoka , tunauhakika tunao askari wakutosha kukabiliana na waandamanaji?
Au wale wanaosubiri watu hadi wawe wametawanyika?
Viburi vyakipumbavu kama hivi ndivyo vinavyolichomaga moto Taifa.
Usikute mwenyewe nikaaskari ,wenyewe mnaona ile siku umeonyesha wereeedi 🤣🤣
Msichokijua ni kwamba ,ile siku ndiyo mmeactivate kifurushi cha kuandamana .
Kila ambaye aliyeona hapaswi kuandamana lile tukio ndiyo limewaongezea sababu ya kwanini wanapaswa kujitokeza kwa wingi .
Kama tunalitakia mema Taifa letu ,tuchague mbinu rafiki nje ya hii kiburi maandazi .