Mimi nipo Bongo humuhuku na kwenye maandamano ya tarehe 29 nilikinukisha kama kawa mchana sana ndiyo nikala chuma hewani ,na tarehe 09 hiyo ndiyo sintakosa Bro , aisee Taifa ni letu ,nitaona haibu sana mbele ya wanaume wenzangu kwa kukwepa kuungana nao siku muhimu kama hiyo.Mbinu rafiki unazikumbuka sasa hivi, endeleeni kuwashawishi waandamane. Nyie si mko nje huko mnawapeleka wenzenu kama maboya.
Mkuu inaonekana Bongo ya sasa unaichukulia kwa sura ya kijijini kwenu eti?Nikiuliza hizo silaha watazitoa wapi hao waandamanaji kwa jinsi ninavyojua wabongo hakuna mwenye ukubwa wa akili hio , nitajikuta nashambiliwa na matusi...
Advance kwenye nini zaidi ya ujinga wa kumeza taarifa za mtandaoni bila kuhakiki kilicholetwa mbele yaoMkuu inaonekana Bongo ya sasa unaichukulia kwa sura ya kijijini kwenu eti?
Tusipumbazane mkuu , Tanzania imepiga hatua sana .
Ndiyo maana nasema tupunguze kudharauliana mkuu wangu
Watu wako more advance karibu kwenye kila kitu .
Kila la kheri, uage kwa ndugu zako kabisa.Mimi nipo Bongo humuhuku na kwenye maandamano ya tarehe 29 nilikinukisha kama kawa mchana sana ndiyo nikala chuma hewani ,na tarehe 09 hiyo ndiyo sintakosa Bro , aisee Taifa ni letu ,nitaona haibu sana mbele ya wanaume wenzangu kwa kukwepa kuungana nao siku muhimu kama hiyo.
Hiyo siku nikiume zaidi ,kama huamini tuombe tu Mungu atujaalie uhai .
Hatuwezi kuwa mafala mara mbili dude ,take it
Kila la kheri, uage kwa ndugu zako kabisa.
Sasa unaokutananao, nao washakufa ganzi, kumzimisha mtu siyo issue kwao kwasababu ndiyo Profession yao, kwahiyo wanakupokea kadri unavyokuja.Na nitakaokutana nao wawe wameaga pia mamamamaaaeee
Mkuu unaweza ukawa hujui vile mioyo ya watu ilivyokufa ganzi .
Nikupe tu siri, watu vile wanafeel mioyoni mwao ni zaidi ya kifo ,ile hofu na heshima waliyowahi kuwa nayo kwa police kwa sasa nikama iko zero .
Watu wanazikwa, wengine wanajiuguza hata pesa ya dawa hakuna na wengine wako jela na wengine hawajajulikana walipo.Tarehe 9 December ni siku ya maandamano Gen Z wa Tanzania wanasema wanakuja na silaha za moto
Police mjipange kukabiliana na moto maana hujui yupi atakua na silaha za moto mtasikia tu zimetua kichwani
Msijitoe akili kuanza kupiga risasi watu kitawaramba
Huu ni ushauri tu
Mkuu umenipiga kichwani sana joh.Advance kwenye nini zaidi ya ujinga wa kumeza taarifa za mtandaoni bila kuhakiki kilicholetwa mbele yao
Aisee wewe ni mkongwe humu halafu unaongea kirejareja kama uko kijiwe cha kahawa, unaiangusha hio ID ya 19kweusi ndani ya JF...
Hakuna hio akili ya watu watakajitolea kukuletea silaha za moto hasa kwenye jambo halina manufaa nao.
Ukitaka kujua ni jinsi gani ilivyo kuwa vigumu mtu kuleta silaha nchini, fuatilia kuna mada humu ya Steve Mollel sehemu ya 1 mpaka ya 3, ndio ujue wale vichaa walipata wapi hizo silaha mpaka kuja kuwa Al Shabab wa Cabo delgado, na tena waliaanzia hapo Kibiti....
Ndio utajua vituo vingapi vya polisi vilivamiwa na silaha kiasi gani zilichukuliwa...
Kwahiyo nasema hakuna huo ujasiri wa kuwa na silaha za moto...
Na kwanza ndio mtageuzwa kama hao wa Kibiti mpaka wakakimbilia Msumbiji na kukuta kuna uhuru wa kujiendesha...
View attachment 3498845
𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐠𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐀𝐧𝐬𝐚𝐫 𝐚𝐥-𝐬𝐮𝐧𝐧𝐚.
- 𝐍𝐣𝐢𝐚 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐛𝐢𝐭𝐢 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐥𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐂𝐚𝐛𝐨 𝐃𝐞𝐥𝐠𝐚𝐝𝐨.
- 𝐖𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐨𝐤𝐨𝐭𝐚 𝐦𝐢𝐢𝐥𝐢 𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐜𝐡𝐰𝐚 𝐯𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐩𝐞𝐦𝐛𝐞𝐧𝐢.
𝐒𝐄𝐇𝐄𝐌𝐔 𝐘𝐀 𝟬𝟭:
Tarehe 20 mwezi huu wa tano, waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga taifa, Dkt. Stergomena Tax analiambia bunge kuwa hali ya usalama katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji bado haitabiriki.
Kwa maneno machache bado hali si shwari na sababu ni uwepo wa kikundi cha kigaidi cha Ansar Al-Sunna ambacho kinafanya mashambulizi huko nchini Msumbiji, jimbo la Cabo Delgado linalopakana na mipaka ya kusini mwa Tanzania.
Hivyo ni...
- SteveMollel
- delgado kibiti magaidi magaidi kibiti magaidi msumbiji msumbiji tanzania usalama wa taifa
- Replies: 347
- Forum: Jamii Intelligence
Watu hawaogopi jela wala kifo tena, wao si wa kwanza kifungwa jela au kufaMnavojazana ujinga ndo kilipigwa bomu kila mtu alikuwa chini ya kitanda
anajinyea!
Mtaozea jelaa nyie punguani.!
Jeshi Gani litaloweza kupambana na raia wenye silaha za moto waliojitoa muhanga likashinda wadanganye wafe kama Rwanda vita ya wahutu na watutsiKitendo cha kutumia silaha za moto kitawavua hao wajinga credibility ya Utanzania na waandamani fujo na kupewa cheo cha ugaidi. At that point, Jeshi la Wananchi wa Tanzania litaingia kazini na hapo ndio mtajua kazi yake ni kuua, maana ya Vita na kwanini wanalinda mipaka.
Umuonye nani kilio kitakua kwenu nyie polisi uchwara watu wanawajia na za moto safari hii nchi nzima kazi mnayo🤣🤣🤣🤣kwamba unataka kupimana ubavu na serikali, hatutaki baadae tuanze kuskia sjui tunataka tuzike wenyewe maaana tushawaonya
Wadogo zangu msifanye hivi. Andamaneni kwa amani. Mkibeba silaha mtahalalisha hawa wauaji kuua tena.Tarehe 9 December ni siku ya maandamano Gen Z wa Tanzania wanasema wanakuja na silaha za moto
Police mjipange kukabiliana na moto maana hujui yupi atakua na silaha za moto mtasikia tu zimetua kichwani
Msijitoe akili kuanza kupiga risasi watu kitawaramba
Huu ni ushauri tu
Acheni mihemko mtaondoa maana nzima ya maandamano na mtahalalisha mauaji yenu.Polisi na jeshi la tanzania ni waoga. Warisasi gen z ni wengi wakiwa na risasi hutaona polisi barabarani hao polisi wanaonaga Raha tu kupiga risasi raia ila kikiwageukia watakaimbia kama hawana akili timamu gen z washajitoa muhanga je polisi yupo tayari kufa
Na wao watakufa na chuma za kichwa ili Waonje Radha ya risasiWadogo zangu msifanye hivi. Andamaneni kwa amani. Mkibeba silaha mtahalalisha hawa wauaji kuua tena.
Abdul kaagiza mabomu nimepata tetesiTarehe 9 December ni siku ya maandamano Gen Z wa Tanzania wanasema wanakuja na silaha za moto
Police mjipange kukabiliana na moto maana hujui yupi atakua na silaha za moto mtasikia tu zimetua kichwani
Msijitoe akili kuanza kupiga risasi watu kitawaramba
Huu ni ushauri tu
😂😂 karibuni uwanjan tushawashauri vya kutosha mda wa vitendo sasaUmuonye nani kilio kitakua kwenu nyie polisi uchwara watu wanawajia na za moto safari hii nchi nzima kazi mnayo🤣🤣🤣🤣
Uzuri gen z washajitoa muhanga Sasa kazi kwenu nyie polisi waoga wa kufa 🤣🤣🤣🤣😂😂 karibuni uwanjan tushawashauri vya kutosha mda wa vitendo sasa
Keyboard warriors huwa ni majasiri sana hapa JF ila nje ya hapa mnajificha ndani. Hiki mnachoshauriana ni upumbavu mtupu utakaowaponza watakaothubutu kufanya hivyo.Hakuna cha amani...na hata ikiwa amani Huwa polisi huanza uchokoziiii..
Kikubwa ziwepo silaha za kujilinda kama vile M23, MAIMAI, UNITA, LORD RESISTANCE ARMY (LRA) nanukuu maneno ya CHANCELLOR OTTO VON BISMARCK
"" THE GREAT QUESTION OF THE DAY CANNOT BE SOLVED BY SPEECHES AND MAJORITY RESOLUTION BUT BY IRON & BLOOD""
Kupitia hii statement German unification ilifanikiwa kupitia IRON & BLOOD.
KWA HIYO KANA VIJANA WA GEN Z AMBAO WANA KESHO NYINGI KULIKO SISI WENYE ABOVE 35'S KWAIO LAZIMA WAWE NA SILAHA ZA MOTO KWA AJILI YA KUJILINDA
na wewe uwepo sasa sio unaongea tu alafu unakaa onlineUzuri gen z washajitoa muhanga Sasa kazi kwenu nyie polisi waoga wa kufa 🤣🤣🤣🤣