PostGE2025 Gen Z watoa taarifa kuelekea maandamano makubwa Desemba 25 (D25) hadi mwaka mpya wa 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Status
Not open for further replies.
Hii mikwara iishie humu humu JF mkitoka huko barabarani mtapasuliwa vichwa vyenu halafu mama zenu wataanza kutia huruma mbele ya kamera za simu za watu.
 
Yani kina simbachawene wasahau kula xmass ni bampa to bampa
Kwani hata haya ya tarehe 9 si mlisema hayana kikomo baada ya kufeli tarehe tisa mka sema ni kwa sababu ya rock down na mkaahidi tarehe kumi mnaendelea na maandamano baada ya serikali kuiondoa rock down sasa hayo maandamano yako wapi?
Kwa sasa neno maandamano limeanza kukosa ushawishi masikioni mwa watu.
 
Reactions: Tui
Hiyo tarehe 25 mtu akiandamana kwa mbuzi yangu niliyochinja nitaanza naye kwanza mimi!
Sijui serikali inasubiri nini kufungia huo mtanda wa Tiktok,kwanza watumiaki wengi wa huo mtandao ni mashoga
 
Hiyo tarehe 25 mtu akiandamana kwa mbuzi yangu niliyochinja nitaanza naye kwanza mimi!
Sijui serikali inasubiri nini kufungia huo mtanda wa Tiktok,kwanza watumiaki wengi wa huo mtandao ni mashoga
Jiandae kufungiwa ndani siku hiyo, mbuzi utamlia ndani mwako
 
Mnatuchosha tu mipango yenu ya maandamano KUTOKA hamtoki.wanakufa wengine
 
Naunga mkono, tupo pamoja

This time twende na strategy ya MO29. Ni kuwavuruga kwelikweli hawa mpaka wawe wehu au ama la wachukue maamuzi sahihi ya kukiri na kutubu makosa yao hadharani na kuacha mara moja uovu wao wafanyao dhidi ya haki ya wananchi..!
 
Reactions: Tui
Mnatuchosha tu mipango yenu ya maandamano KUTOKA hamtoki.wanakufa wengine
Ndugu, unataka nani atoke kama sio wewe..?

Hapo hapo ulipo fanya likupasalo kufanya kupinga uovu. Hata kununa tu inatosha au nunua hata chupa ya maji, wape wapigania uhuru kisha wewe nenda katulie ndani ukiombea wenzako wafanikiwe...

Hili ni jukumu la kila mmoja wetu kwa njia na namna yake...

Hata akina Julius K. Nyerere na wenzake wachache ndio waliokuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa Tanganyika toka kwa mkoloni Mwingereza kati ya Watanganyika zaidi ya 8,000,000 wakati huo....
 
Bado sijawaza
 
Aisee inabidi jeshi lirudi barabarani kulinda amani🐼
 

FAKE NEWS! IPUUZWE!
Hawa ma Gen Z sijui watatu wanaojificha nyuma ya key board na kutuma meseji za kutishia maandano wanafikiri huwa ni rahisi hivyo
Hata hivyo watu ambao hawajui kufuatilia data, wanafikiri ni watu wengi kumbe tangu hizi mada zimeanza hapa JF wanao unga mkono maandamano hawajawahi kuzidi 30 ila wanajirudia rudia hao hao...kati ya watu takriban nusu milioni waliopo hapa
Hata hivyo ujumbe wenu ulisha fika kwa serikali kutokana na yalliyotokea Nov 29
 
Reactions: Tui
Wajitokeze tu,,ila sisi tumejipanga,,ni mwendo wa pyupyu
 
I Will be there
watajua hawajui
unamfungiaje mwanaume ndani km mwali
Madogo GEN Z nawakubali sanaa

Tukutane xmas!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…