PostGE2025 Gen Z watoa taarifa kuelekea maandamano makubwa Desemba 25 (D25) hadi mwaka mpya wa 2026

PostGE2025 Gen Z watoa taarifa kuelekea maandamano makubwa Desemba 25 (D25) hadi mwaka mpya wa 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Status
Not open for further replies.
Hata wasipoweka rockdown hakuna atakaeadamana.
Kwa mtizamo wangu, swala la maandamano tumeshafeli, tusuke mipango mikakati mingine.
Chadema Kama walishindwa kupata Dola mwaka 2015 itakuwa ngumu Sana kupata tena

Mwaka 2015 wangesema waandamane watu wangeandamana Ila kwa sasa sioni huo mwamko .

Hata wasiweke lockdown sioni Kama wanaweza kuandamana.
 
Taarifa kwa Vyombo vya Habari​

Tunasonga Mbele! Kituo #D25 kuelekea #J1
Itolewe kwa Uharaka
Dar es Salaam, 12 Disemba 2025
Na. 028

Tunatambua wazi kwamba Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na vyombo katili vya ulinzi na usalama na tume batili ya uchaguzi wamefanya uhaini wa kupindua mamlaka ya wananchi wa Tanganyika nchini Tanzania kwa kujiweka madarakani bila uhalali.

Tunakuja kwenu tukiwa kwa moyo wa shukrani na wenye fadhila nyingi kushukuru kwa namna ambavyo kwa pamoja tumeweza kufanikisha hatua muhimu katika maandamano yasiyo na kikomo 9 Disemba 2025 #D9.

Sisi ni washindi na wao WAMESHINDWA!
Tumefanikiwa:

1. Kuwezesha maandamano makubwa nchi nzima ambayo hayajawahi kutokea toka Vita vya Maji Maji mwaka 1905-1907

2. Kuwachangaya watawala haramu wakiongozwa na Samia Suluhu Hassan kutoa kauli za kujichangaya kuhusu kilichotokea Oktoba 29 #MO29

3. Kuwaunganisha wananchi kupambania nchi yao bila kujali itikadi za kisiasa, dini, jinsi au tabaka. Mshikamano huu ni wa kwanza toka kurejeshwa kwa siasa za vyama vingi nchini mwaka 1992

4. Kuzima kwa ujasiri mkuu hila za kuchonganisha wananchi kwa kutumia dini, imani za kidini na udini

5. Kuwezesha vyombo vyote vya ulinzi na usalama hasa polisi na wanajeshi kuandamana nchi nzima bila kikomo

6. Kuvunja rekodi ya kuweka nchi kwenye lock down ambayo haijawahi kutokea toka Uhuru wa Tanganyika mwaka 1961

7. Kusimamisha shughuli za uchumi wa nchi nzima kwa zaidi ya saa 36

8. Kuwezesha watalii na kampuni za utalii nje na ndani ya nchi kufahamu hatari ya kutembelea Tanganyika na Zanzibar kwenye nyakati hizi

9. Kutengeneza na kusambaza mabango zaidi ya 100,000 nje na ndani ya Tanzania kwa ajili ya kudai haki, uhuru na uwajibikaji kwa vibaka, wahalifu, wahaini, majahili, majangili na maharamia wote wa demokrasia wanaoitawala Tanganyika kimabavu

10. Kuhakikisha dunia inasimama na wananchi jasiri na mashujaa wa Tanganyika kupambana na vyombo katili vya Samia Suluhu Hassan hadi vikaogopa kugusa raia

11.Kuwanyoosha watawala fedhuli kwa maarifa ya hali ya juu hadi wakagwaya kuzima internet

12.Kuwalazimisha watawala haramu kujadili maandamano badala ya miradi ya maendeleo

13.Kuwafanya watawala haramu kuheshimu raia hasa GenZ kwa kufuatilia kwa karibu mijadala yao mitandaoni na vijiweni

14. Kuwasaidia wawekezaji kwenye sekta muhimu kutambua hatari za sasa na za muda mrefu ya uwekezaji wao nchini Tanzania

15.Kuwawewesesha watawala dhalimu wanaotumia zaidi ya bilioni 100 kila mwezi wananchi wakitangaza maandamano

16. Kuhakikisha bajeti ya mwaka mzima ya Wizara ya Mambo ya Ndani imetumika ndani ya miezi 3

17.Kulipa kazi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuzurura mitaani kama sungusungu

18. Kuwafikisha wahaini kwenye Mahakama ya Kimataiifa (ICC)
Watesi wetu wanahaha!

Pamoja na mafanikio haya makubwa, bado kuna kazi kubwa mbele yetu kuudhibiti na kuuondoa utawala haramu wa Samia Suluhu Hassan na majangili wenzake. Hivyo tunaelekeza:

1. Wananchi na mashujaa wetu GenZ kuendeleza maandamano yasiyo na kikomo wakati wote mahali popote
2. Kubandika mabango kila mahali ya kupinga utawala haramu, kudai haki na kuwakumbuka mashujaa wetu zaidi ya 10,000 waliouliwa kikatili kwa kupigwa risasi
3. Kupiga nyimbo za ukombozi kwenye kila kutaniko hasa wimbo wa 'Makomborero' na 'Teremsha Bunduki'

4. Kuhakikisha hakuna msanii msaliti atakayeweza kufanya show sehemu yoyote ndani na nje ya nchi. Iwapo wasanii hawa mabaradhuli watakaidi agizo hili, tunaelekeza wananchi kuandamana wakati wote wa show wakiwa na mabango ndani na nje ya kumbi

5. Kuandamana mahali popote na wakati wote wa mashindano ya michezo hasa wakati wa mechi za ligi kuu ya mpira wa miguu hasa siku timu ya Yanga iliyochangia pesa za kulipia wauaji, inapocheza

6. Kuhakikisha mikusanyiko/mikutano yote ya viongozi wa kisiasa inatumika kama sehemu ya maandamano kwa kukusanyika kwa wingi pamoja na mabango

7. Kuendeleza mijadala ya live ya TikTok, Instagram na XSpace kudai haki kwa nguvu kubwa zaidi

8. Kususia biashara na bidhaa zote za wachangiaji majangili wote walioshiriki kuchangia bilioni 100 chama cha kigaidi cha CCM wakati wa kampeni pale Mlimani City

9. Kuendelea kudai uwajibikaji wa kila mtu aliyehusika kwenye mauaji ya raia zaidi ya 10,000 waliouliwa bila hatia kwa maagizo ya Samia Suluhu Hassan

10. Kushikilia msimamo kwamba hakukuwa na uchaguzi hivyo Samia Suluhu Hassan, bunge na mabaraza ya madiwani ni batili na haramu

11.Kudai kukomeshwa mara moja matukio ya utekaji, mateso, mauaji na kupotea kwa raia kunakofanywa na genge la Counter Terrorism (CT)/chinja-chinja, Majeshi ya mamluki kutoka nje ya mipaka yetu, Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo (KMKM), vikundi haramu vya Task Force vilivyopo kwenye mikoa yote pamoja na magenge mengine ya wahalifu yaliyopo chini ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) wanaofanya kazi na askari wasio waaminifu wa Jeshi la Polisi Tanzania

12. Kuandaa Mkutano Mkuu wa Kitaifa kwa ajili ya kuunda Serikali ya Mpito
Tunaendelea tulipoishia kwa maandamano yasiyo na kikomo kila siku ya Jumatano mahali na muda wowote tukijipanga kuelekea siku ya kilele ya tarehe 25 Disemba 2025 hadi tutakapouona Mwaka Mpya wa 2026.

Tumeazimia!
#D9 #SamiaMustGo #Karibu The Hague

Imetolewa na:
Wananchi Wazalendo wanaodai Haki, Uhuru, Usawa, Uwajibikaji, Ukweli, na Kupatikana kwa Katiba Mpya inayotambua Jamhuri huru ya Tanganyika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Ujinga sasa
 
maneno mengi yasio na maana, haw hata serikali imesha wazarau, sasa na wanchi watawadharau. Hakuna mtu anae weza vuruga Christmas Tanzania. Hapo ndio wamehaibu kabisa. Niache kusherekea nifate maandamao? kwakweli nitakua punguani. Tarehe 25 hakuna lockdown na hakuna maandamano tena.
 
Sawa this time msieke "rockdown"mbwa ww kuandika hujui umasikini hdi kwenye mbupu zako uko hapa kumtetea Samuya.useless human being..wasted sperm
Kwahiyo baada ya hehe na lisu kuingia madarakani kila mtz atamiliki v8?
Ww mbona baba yako ni masikini mpaka kwenye matako au na yeye alizaliwa baada ya samia kuingia madarakani.
Nyinyi si mlisema maandamano yenu hayana kikomo sasa rock down imesha ondolewa mbona hamendelei na hayo maandamano mpaka samia aondoke?
Alafu mm ni mpambanaji nina mali mtaani ndo maana siwezi kuunga mkono upumbavu wenu wa kutumia maandamano kwenda kuibia watu.
Ila ww unayetegemea kuuza uchi ili ule huwezi kuwa na uchungu na mali zinazo tafutwa kwa jasho.
Kwa ww mwenyewe kwenye hayo maandamano utakuwepo au unabwabwaja tu humu.
 
Ninachokiona hapa ni ujinga wa kihisia tu.

Hakuna mpango mkakati mfano;
"Slogan yetu ni hii..."
"Maandamano yataanzia A, B mpaka C..."
"Kwenye maandamano tutafanya vitu vya mtindo A,B,C ili kushinikiza....."

Every battle is won before it is fought - Sun Tzu.
Je, kwa mikakati hiyo mtu unaweza ukasense ushindi wa badiliko la mfumo?

Hakuna cause and effect.
Ni nini kitakacho chochea watu kutoka?
Mfano mzuri ni Lissu pamoja na Heche na slogan yao ya "No reforms no election" ambayo tuliona impact zake october.

Kwa haraka kilichoandikwa hapo siyo mkakati, ni hisia za mtu tu ambaye amejaribu kutafuta attention huko TikTok.
Maneno makali na vitisho bila mpango wa utekelezaji ni kelele tu.

Failing to plan is planning to fail — Benjamin Franklin.

Hakuna jambo gumu zaidi kulitekeleza kama kuingiza mfumo mpya hasa kwa mikakati dhaifu kama hii.

It ought to be remembered that there is nothing more difficult to plan, more doubtful of success, nor more dangerous to manage, than the creation of a new system — Machiavelli.
 
******* wakubwa kumamaeh...mnalombwa na wachawi.
 
Hakuna Cha slogan Hawa wapumbavu wanaendeshwa na wanawake ..mijitu mizima yenye makende wanawake wawili ndio wanawapelekesha...inshort ni Hawana na hawajui wanachokisimamia
 
maneno mengi yasio na maana, haw hata serikali imesha wazarau, sasa na wanchi watawadharau. Hakuna mtu anae weza vuruga Christmas Tanzania. Hapo ndio wamehaibu kabisa. Niache kusherekea nifate maandamao? kwakweli nitakua punguani. Tarehe 25 hakuna lockdown na hakuna maandamano tena.
Jamaa ******* sana...na sativa wao kashafunguliwa kesi huko na serikali ...Yan ukijarib kuwasikiliza ama kuwasoma ni kama wagonjwa wa akili..tena sio ni kama ...ni wagonjwa wa akili ..
 
Kwahiyo baada ya hehe na lisu kuingia madarakani kila mtz atamiliki v8?
Ww mbona baba yako ni masikini mpaka kwenye matako au na yeye alizaliwa baada ya samia kuingia madarakani.
Nyinyi si mlisema maandamano yenu hayana kikomo sasa rock down imesha ondolewa mbona hamendelei na hayo maandamano mpaka samia aondoke?
Alafu mm ni mpambanaji nina mali mtaani ndo maana siwezi kuunga mkono upumbavu wenu wa kutumia maandamano kwenda kuibia watu.
Ila ww unayetegemea kuuza uchi ili ule huwezi kuwa na uchungu na mali zinazo tafutwa kwa jasho.
Kwa ww mwenyewe kwenye hayo maandamano utakuwepo au unabwabwaja tu humu.
Hakuna mwandamanaji hapo /humu ni mihemko tu...
 
Natoa ushauri;
tunakosea sana kupanga muda na mahali
ndo maana maandamano ya 9dec yali fail sababu tunawapa muda wa mrefu wa kujipanga

Ni bora twende kimyamya halafu zikibaki km siku 2 ndo tuamshe popo!
 
Kwahiyo baada ya hehe na lisu kuingia madarakani kila mtz atamiliki v8?
Ww mbona baba yako ni masikini mpaka kwenye matako au na yeye alizaliwa baada ya samia kuingia madarakani.
Nyinyi si mlisema maandamano yenu hayana kikomo sasa rock down imesha ondolewa mbona hamendelei na hayo maandamano mpaka samia aondoke?
Alafu mm ni mpambanaji nina mali mtaani ndo maana siwezi kuunga mkono upumbavu wenu wa kutumia maandamano kwenda kuibia watu.
Ila ww unayetegemea kuuza uchi ili ule huwezi kuwa na uchungu na mali zinazo tafutwa kwa jasho.
Kwa ww mwenyewe kwenye hayo maandamano utakuwepo au unabwabwaja tu humu.
Sio rockdown ni lockdown nakuandikia hapa kila saa huelewi umbwa we
 
Hakuna Cha slogan Hawa wapumbavu wanaendeshwa na wanawake ..mijitu mizima yenye makende wanawake wawili ndio wanawapelekesha...inshort ni Hawana na hawajui wanachokisimamia
Nikweli hakuna slogan, hakuna mkakati wala hakuna wanachokisimamia wazi.

Lakini hoja ipingwe kwa akili na si matusi.
Kulaumu jinsia fulani au kutukana watu hovyo ni kuonyesha udhaifu kihoja.

Tatizo si nani anaongoza.
Tatizo ni hakuna mpango.
 
Sawa muuza uchi ila hakikisha na ww unakuwepo kwenye hayo maandamano.
Kama mama yako nipo nae hapa nauza nae mwanaume unanuka mbupu unakuja na maandishi yako hapa hata kuandika hujui kwendraaaaa..lafa wewe
 
Kama mama yako nipo nae hapa nauza nae mwanaume unanuka mbupu unakuja na maandishi yako hapa hata kuandika hujui kwendraaaaa..lafa wewe
Bila shaka ulisha wahi kuniuzia uchi ndo maana unajua hadi harufu ya pumbu zangu.
 
Huko tiktok ndo kuna vijana jasiri sasa maana kwanza hawatumii ID feki kama sisi huku alafu wanapiga spana live live,

Yani wakiamua kuwateka wote huko nahisi hadi makaburi hayatotosha labda tukodi ya nchi jirani.
Huko tiktok unasikilizaje hizo hoja zao mkuu? Huu mtandao wa tiktok sijawahi kuutumiaga, nataka nidownload hiyo app kwa ajili ya kusikiliza hoja za vijana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom