PostGE2025 Gen Z watoa taarifa kuelekea maandamano makubwa Desemba 25 (D25) hadi mwaka mpya wa 2026

PostGE2025 Gen Z watoa taarifa kuelekea maandamano makubwa Desemba 25 (D25) hadi mwaka mpya wa 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Status
Not open for further replies.
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
 
Huko tiktok unasikilizaje hizo hoja zao mkuu? Huu mtandao wa tiktok sijawahi kuutumiaga, nataka nidownload hiyo app kwa ajili ya kusikiliza hoja za vijana.
Mi mwenyew sina account huko ila naonaga videos zao kupitia rafiki yangu ananionyeshaga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom