Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 1,366
- 1,770
Mi mwenyew sina account huko ila naonaga videos zao kupitia rafiki yangu ananionyeshaga.Huko tiktok unasikilizaje hizo hoja zao mkuu? Huu mtandao wa tiktok sijawahi kuutumiaga, nataka nidownload hiyo app kwa ajili ya kusikiliza hoja za vijana.
Unajua nadai nini ?Mpuuzi wewe siku hiyo utajikuta peke yako road
UmeulizwaKaribu D25
unavyotaka wewe na wao wanataka hivo hivo
Kwani ulichokuwa unadai d9 ni nini?Unajua nadai nini ?
Haki wewe hoja yako ni nini ?Kwani ulichokuwa unadai d9 ni nini?
Vibaka wanao uwa na kuteka watu hawana tatizo hasa hawa walioiba madarakavijana epukeni makundi ya vibaka yanayo chochea mandamano kwa lengo la wao kukwapua mali za watu na uma
msiwaumize wapendwa wenu kwa kufuata mkumbo
Hi post iwekewe laminationvijana epukeni makundi ya vibaka yanayo chochea mandamano kwa lengo la wao kukwapua mali za watu na uma
msiwaumize wapendwa wenu kwa kufuata mkumbo
sawa njoo barabarani kwa lengo lako la kile unachokiita mandamano ya amaniVibaka wanao uwa na kuteka watu hawana tatizo hasa hawa walioiba madaraka
Umenyimwa haki gani wewe unayoidai?Haki wewe hoja yako ni nini ?
Hivi siku 100 za uyu mama zaisha lini,? Roho mtakatifu anagomaNimethbitisha D25 kutakuwa na maandamano makubwa nchi nzima mpaka sababu kuu zitakapo tatuliwa hatutakubali kuacha uchafu wowote.
Tukutane barabarani.
Subiri D25 utajuaUmenyimwa haki gani wewe unayoidai?
Sasa mbona hukutoka kuidai?Haki wewe hoja yako ni nini ?