PostGE2025 Gen Z watoa taarifa kuelekea maandamano makubwa Desemba 25 (D25) hadi mwaka mpya wa 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Status
Not open for further replies.
BILA KURUDISHA HELA MLIZOZILPWA MTAHANGAIKA SANA SAFARI HII


TAZAMA HUYU NYUMBU ALIVYOWAINGIZA KING NYUMBU WENZAKE👇🏾
 

Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 10
Leaders who don't listen will eventually be surrounded by people who have nothing to say...... right🤔
 
Gen z wanawkilisha wanangu niliowapoteza , naungana nao, ila yupo bibi mmoja hivi anakiwasha bila huruma kwa yoyote ,sijui tumwite Generation ipi ,bibi wa taifa anakiwasha bila kuangalia mtu usoni
 
D25 nchi itasimama kwa mara nyengine tena hakutakuwa na shughuli zozote siku hiyo Gen z nchi nzima wamepanga maandamano makubwa.

Aidha kusimama kwa shughuli zote za kiuchumi ni ushindi na ujumbe kwa malamlaka haramu na ni ushahidi duniani kote kuwa serikali iliyopo imejipachika madarakani kinyume cha idhini ya wananchi.

Lazima tuwe jeuri na mashujaa, na tujitoe kuipigania nchi kwa gharama yoyote huu ndio msimamo usioyumba.
 
Kama magonjwa ya kisukari na maukimwi yako yameshindwa kukuua basi d25 sogeza kijambio chako road tutakusaidia hitaji lako la moyo!!
Maneno huwakilisha nafsi,kwa maandiko yako hayo itasikitisha sana ikiwa utakuwa na familia inayo kutegemea kwa malezi, yaani unarudi nyumbani unapewa mashitaka ya kifamilia ili uyatatue kwa hekima...
Siasa zisitufubaze ubongo hadi tukapoteza kamusi ya maneno mazuri ya kuyatamka kwenye jamii.
Maneno yako yatasomwa na watu zaidi ya milioni moja kwa miaka mingi mbeleni,hata ukifa leo nafsi yako itasimamia matamshi hayo...
 
WAAMBIE WATOKE KWA WINGI JESHI LITAWALINDA
 

Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 12
Acheni mchezo na Tanzania. Hii si nchi yakuchezewa na njiti mmoja au kikundi cha panyaroad.
Jaribuni muone
 
Panyaroad hawana uwezo wa kusimamisha nchi, nawapeni tahadhari tu, hatuna mchezo na amani ya Tanzania. Kama wazazi wenu waliwalea kichokolaa mtapata matokeo yake
 
fuckin no chance msiteegemee SOFT GAME

KAMA WAZAZI HAWAKUWAPA MALEZI MTAJIFUNZA IN HARD WAY
 
ni gen z au malofa tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…