GEN Z ya Tanzania tuna akili sana

GEN Z ya Tanzania tuna akili sana

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya Tanzania ni kutokuandamana sababu kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi jamani Kwa akili ya kawaida yaani kijana afe azikwe aoze halafu lizee liishi liponde raha Kwa damu ya kijana iliyomwagika hii ni akili au matope.

Yaani enzi zao yalizubaa nchi ikaliwa na Nyerere wakabaki kuchekacheka tu kumbe Nyerere alikua tapeli namba Moja halafu nashangaa watu wanakalia kumuita mtu tapeli kama Nyerere eti baba wa Taifa hii kauli inanikeraga sana. Nyerere ndio mwanzo wa maisha mabovu ya watanzania ila mizee ilishindwa kumuambia ukweli Leo hii inasema vijana tuandamane nasema hapa haandamani mtu mpaka mfe na njaa nyie wazee.
 
Uzi wako wa jana nilikuunga mkono lakini wa leo🚮
Wewe sio Gen Z! Ni m'baba mwenye kitambi fisadi lililokubuu unakula kodi zetu kutwa! au ni Chawa uliyepewa buku 7 kuanzisha kampeni ya kutupumbaza Gen Z wa Tz

Muda utafika waliokufa watafufuka.
 
Uzi wako wa jana nilikuunga mkono lakini wa leo🚮
Wewe sio Gen Z! Ni m'baba mwenye kitambi fisadi lililokubuu unakula kodi zetu kutwa au ni Chawa uliyepewa buku 7 kuanzisha kampeni ya kutupumbaza Gen Z wa Tz

Muda utafika waliokufa watafufuka.
Wazee fanyeni kazi hamna kijana wa kuandamana mtakufa na njaaa
 
Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya tanzania ni kutokuandamana sababu Kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi jamani Kwa akili ya kawaida yaani kijana afe azikwe aoze halafu lizee liishi liponde raha Kwa damu ya kijana iliyomwagika hii ni akili au matope yaani enzi zao yalizubaa nchi ikaliwa na Nyerere wakabaki kumsifia sifia kumbe Nyerere alikua tapeli namba Moja halafu nashangaa watu wanakalia kumuita mtu tapeli kama Nyerere eti baba wa taifa hii kauli inanikeraga sana nyerere ndio mwanzo wa maisha mabovu ya watanzania ila mizee ilishindwa kumuambia ukweli Leo hii inasema vijana tuandamane nasema hapa haandamani mtu mpaka mfe na njaa nyie wazee
Hata kuandika vizuri hujui, akili utatoa wapi?
 
Uzi wako wa jana nilikuunga mkono lakini wa leo🚮
Wewe sio Gen Z! Ni m'baba mwenye kitambi fisadi lililokubuu unakula kodi zetu kutwa! au ni Chawa uliyepewa buku 7 kuanzisha kampeni ya kutupumbaza Gen Z wa Tz

Muda utafika waliokufa watafufuka.
Wala siyo mtu mzima hivyo, ni UVCCM huyo tena ni kiongozi wa UVCCM yule ambaye ameipa serikali miezi minne iwe imeufungia mtandao wa X nchini
 
Uzi wako wa jana nilikuunga mkono lakini wa leo🚮
Wewe sio Gen Z! Ni m'baba mwenye kitambi fisadi lililokubuu unakula kodi zetu kutwa! au ni Chawa uliyepewa buku 7 kuanzisha kampeni ya kutupumbaza Gen Z wa Tz

Muda utafika waliokufa watafufuka.
😂😂 Mbona huyu na yule Luca wako anayekera mpk kicheko hawana tofauti🙄 wanatofautiana tu aina ya mapambio
 
Back
Top Bottom