GEN Z ya Tanzania tuna akili sana

GEN Z ya Tanzania tuna akili sana

Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya tanzania ni kutokuandamana sababu Kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi jamani Kwa akili ya kawaida yaani kijana afe azikwe aoze halafu lizee liishi liponde raha Kwa damu ya kijana iliyomwagika hii ni akili au matope yaani enzi zao yalizubaa nchi ikaliwa na Nyerere wakabaki kuchekacheka tu kumbe Nyerere alikua tapeli namba Moja halafu nashangaa watu wanakalia kumuita mtu tapeli kama Nyerere eti baba wa taifa hii kauli inanikeraga sana nyerere ndio mwanzo wa maisha mabovu ya watanzania ila mizee ilishindwa kumuambia ukweli Leo hii inasema vijana tuandamane nasema hapa haandamani mtu mpaka mfe na njaa nyie wazee
Acha kumsema mtakatifu nyerere. Muombe akuombee mana yuko close sana na bikra maria na mwanae yesu
 
Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya tanzania ni kutokuandamana sababu Kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi jamani Kwa akili ya kawaida yaani kijana afe azikwe aoze halafu lizee liishi liponde raha Kwa damu ya kijana iliyomwagika hii ni akili au matope yaani enzi zao yalizubaa nchi ikaliwa na Nyerere wakabaki kuchekacheka tu kumbe Nyerere alikua tapeli namba Moja halafu nashangaa watu wanakalia kumuita mtu tapeli kama Nyerere eti baba wa taifa hii kauli inanikeraga sana nyerere ndio mwanzo wa maisha mabovu ya watanzania ila mizee ilishindwa kumuambia ukweli Leo hii inasema vijana tuandamane nasema hapa haandamani mtu mpaka mfe na njaa nyie wazee
Kuna chizi alisema Tanzania wote ni wanawake usitishwe na maumbo ya kiume.
Kwa andiko hili,nathibitisha kuwa ni kweli.
 
Ungekua umeshaingia na wewe pia hauingii kama Mimi tu muoga 🤣🤣🤣🤣
Wewe ni dogo sana, hata huu uhuru wa kuandika utumbo wako hapa, kuna watu walioupigania,

Tuliokuwepo enzi Nyerere, Redio moja na magazeti ya serikali tu, ndio tunajua Hali ilikuwaje,

Kuna watu waliwekwa kizuizini ndio ukapata nafasi ya kuandika huu utumbo,

Naudia Tena punguza kiherehere,
 
Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya tanzania ni kutokuandamana sababu Kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi jamani Kwa akili ya kawaida yaani kijana afe azikwe aoze halafu lizee liishi liponde raha Kwa damu ya kijana iliyomwagika hii ni akili au matope yaani enzi zao yalizubaa nchi ikaliwa na Nyerere wakabaki kuchekacheka tu kumbe Nyerere alikua tapeli namba Moja halafu nashangaa watu wanakalia kumuita mtu tapeli kama Nyerere eti baba wa taifa hii kauli inanikeraga sana nyerere ndio mwanzo wa maisha mabovu ya watanzania ila mizee ilishindwa kumuambia ukweli Leo hii inasema vijana tuandamane nasema hapa haandamani mtu mpaka mfe na njaa nyie wazee
hupo saluni kwa kina dada unajisifia kuwa wewe ni mjinga hapo.sema wewe sio wao
 
Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya tanzania ni kutokuandamana sababu Kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi jamani Kwa akili ya kawaida yaani kijana afe azikwe aoze halafu lizee liishi liponde raha Kwa damu ya kijana iliyomwagika hii ni akili au matope yaani enzi zao yalizubaa nchi ikaliwa na Nyerere wakabaki kuchekacheka tu kumbe Nyerere alikua tapeli namba Moja halafu nashangaa watu wanakalia kumuita mtu tapeli kama Nyerere eti baba wa taifa hii kauli inanikeraga sana nyerere ndio mwanzo wa maisha mabovu ya watanzania ila mizee ilishindwa kumuambia ukweli Leo hii inasema vijana tuandamane nasema hapa haandamani mtu mpaka mfe na njaa nyie wazee
Sio NAPE NAUYE ..?
 
WW NA AKINA NANI? Tokea jana naona post zako zisizo na akili. Kwanza huna mandate au mamlaka ya kuwakilisha Gen z wote nchi hii, si ajab ni uvccm or somekind of old man behind keyboard

Nchi hii isingepata uhuru kama sio udhubutu wa vijana wa kipindi hiko, akina nyerere na wenzake, walidhubutu na wakaweza. Wewe unaisusia nchi yako? Seriously?
 
Wewe kweli zoba hivi wewe una uhuru Gani hapo ulipo nchi haijapata uhuru hii mbuzi wewe kama unabisha nchi Haina uhuru nenda kamuongelee tofauti Samia bila kumsifia uone kama utaachwa watu kama nyie darasani mlikua mnazungusha zero Kila mtihani
 
Screenshot_20240715-135417_(1).png
 
Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya tanzania ni kutokuandamana sababu Kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi jamani Kwa akili ya kawaida yaani kijana afe azikwe aoze halafu lizee liishi liponde raha Kwa damu ya kijana iliyomwagika hii ni akili au matope yaani enzi zao yalizubaa nchi ikaliwa na Nyerere wakabaki kuchekacheka tu kumbe Nyerere alikua tapeli namba Moja halafu nashangaa watu wanakalia kumuita mtu tapeli kama Nyerere eti baba wa taifa hii kauli inanikeraga sana nyerere ndio mwanzo wa maisha mabovu ya watanzania ila mizee ilishindwa kumuambia ukweli Leo hii inasema vijana tuandamane nasema hapa haandamani mtu mpaka mfe na njaa nyie wazee
Kwanza na tufahamu wewe GenZ mbogo au Kizee cha Kibongo,kabla hatujaendelea na je ni utashi wako ama unachovya mguu kwenye dimbwi la Mamba.
 
Back
Top Bottom