GEN Z ya Tanzania tuna akili sana

GEN Z ya Tanzania tuna akili sana

Yaani katika kitu nimewakubali gen z ya tanzania ni kutokuandamana sababu Kuna mizee ambayo ujanani kwao ilichezea pesa Sasa hivi maisha Yao magumu yanaanza kushawishi vijana eti waandamane hivi jamani Kwa akili ya kawaida yaani kijana afe azikwe aoze halafu lizee liishi liponde raha Kwa damu ya kijana iliyomwagika hii ni akili au matope yaani enzi zao yalizubaa nchi ikaliwa na Nyerere wakabaki kuchekacheka tu kumbe Nyerere alikua tapeli namba Moja halafu nashangaa watu wanakalia kumuita mtu tapeli kama Nyerere eti baba wa taifa hii kauli inanikeraga sana nyerere ndio mwanzo wa maisha mabovu ya watanzania ila mizee ilishindwa kumuambia ukweli Leo hii inasema vijana tuandamane nasema hapa haandamani mtu mpaka mfe na njaa nyie wazee
Kwa hiyo mnaona raha kuendelea kuishi kwa wazazi wenu na kuiba vichenjichenji mezani?Marabook kabisa!
 
Mfumo wenyewe unawapenda kizazi cha sahvi 😄
Hawana mambo mengi,hawataki shida.....we wape burudani tu kwishneeey
Salute kizazi cha sahv

Ova
 
Kazi tumemaliza tunakula kiinua kiuno na mama zenu.Ninyi mjitafute.Na hatuwapi mbinu.Mtajijua kengemwitu ninyi!
Hahaha kama mngekua mnakula kiinua mgongo msingekua mnaongea tuandamane tumewastukia mmechoka mmechakaaa mnataka vya ulaini na hii gen z hatuna habari ni mwendo wa kushabikia mpira Kila siku nyie pambaneni na hali zenu
 
Hahaha kama mngekua mnakula kiinua mgongo msingekua mnaongea tuandamane tumewastukia mmechoka mmechakaaa mnataka vya ulaini na hii gen z hatuna habari typo zetu kitambaa cheupe Kila siku nyie pambaneni na hali zenu
Generation mdebwedo tu ninyi.Hata kusugua masufuria kwa mchanga hamuwezi.Mpompo tu mnalegeza sarawili kama mnakata gogo.Tulieni tuwalishe mjifie polepole.Labda watoto niliowapata Ethiopia watawatetea dhidi ya madhila ya silikale.
 
endeleeni kusubiri eti mtawatoa watawala kwa Karatasi!
endeleeni kusubiri eti mtapika maharage kwa moto wa karatasi
endeleeni kusubiri kwakuwa Subira humvuta Heri mkasahau Subira atavutwa na nani
kisha rudini kwenye usemi wenu pendwa harakaharaka haina baraka,mwenda pole hajikwai akijwaa haaanguki kumia kwake kidogo.
endeleeni na aliyejuu mgoje chini wakati wenyewe wakiwajibu mtasubiri sanaa
mvumilivu hula mbivu sawa subirini watu wamalize madini yenu kisha mashimo yenu mvugie sungura na nyoka wa maonyesho
wenzenu wanachomoka na mbili tu Ngojangoja huumiza matumbo na mtaka cha uvunguni lazima ainame
nyie endeleeni kuangalia catoon mkitarajia mwanasiasa atahusika na shida zenu.
ni bora baba aliyewakuta watoto wanaangalia picha mbaya za X akatupa taulo lake kufunika pamoja kuwa yeye alibaki uchi lakini uko ujumbe mkubwa alipeleka kwa watoto kuwa hii ni hatari zaidi kuliko mimi kuwa uchi
 
Uzi wako wa jana nilikuunga mkono lakini wa leo🚮
Wewe sio Gen Z! Ni m'baba mwenye kitambi fisadi lililokubuu unakula kodi zetu kutwa! au ni Chawa uliyepewa buku 7 kuanzisha kampeni ya kutupumbaza Gen Z wa Tz

Muda utafika waliokufa watafufuka.
Chawa tu huyu, Toka Jana anahangaika, utafikiri kalazimishwa kuandamamana,
 
Generation mdebwedo tu ninyi.Hata kusugua masufuria kwa mchanga hamuwezi.Mpompo tu mnalegeza sarawili kama mnakata gogo.Tulieni tuwalishe mjifie polepole.Labda watoto niliowapata Ethiopia watawatetea dhidi ya madhila ya silikale.
Kama sisi mdebwedo basi nyie ni mnyenyero enzi zenu mlikua mnaambiwa na Nyerere kwamba ameota nchi Fulani Kuna vita basi na nyie mnamuamini kumbe mwenzenu angalia kwenye tv hahahaha yaani nyie wazee mlikua washamba sana Sasa mtu kama Nyerere wakuwafanya mlale saa 12 kweli
 
Back
Top Bottom