General Mabeyo akapige Sala ya Novena kutuomba msamaha Watanzania

Huyu mtu katukosea sana watanzania wenzake walipomwambia tunapotaka kwenda huyu mama awezi mziki wake na kuwabishia.

General Mabeyo atuombe radhi watanzania

Hussein Mwinyi for presidency 2025

Ulitaka katiba ivunjwe kwa maslahi ya watu binafsi?

Wenye kutaka madaraka watumie njia sahihi kufanya hivyo...

Kinachoongoza nchi ni CCM na sio Mama Samia...

Hata awepo nani madarakani, bado madudu ya CCM yataonekana tu...
 
Basi twende na Hussein Mwinyi 2025...Saa 100 imetosha....atupishe hana jipya
 
mpo wrong kwasababu hamjui mnachokitaka katiba ikisiginwa mnasema na mtu akifata katiba mnasema pia so huu ni undumbila kiwili hamjui wrong na right.. na watu wa hivi watoto wenu ndo wanategemea mchague viongozi
 
Huna akili.
 
Kikwete na General Mwamunyange

Magufuli na General Mabeyo

Socket shell na General J Nkunda
 
Ulitaka katiba ivunjwe kwa maslahi ya watu binafsi?

Wenye kutaka madaraka watumie njia sahihi kufanya hivyo...

Kinachoongoza nchi ni CCM na sio Mama Samia...

Hata awepo nani madarakani, bado madudu ya CCM yataonekana tu...
Whose right or wrong doesn’t matter

Somo ni either:
Kubadili katiba hii situation isijirudie, kuweka makamu imara au kuhakikisha tuna strong senior service ya kuongoza nchi hata raisi nani.
 
Huyu mtu katukosea sana watanzania wenzake walipomwambia tunapotaka kwenda huyu mama awezi mziki wake na kuwabishia.

General Mabeyo atuombe radhi watanzania

Hussein Mwinyi for presidency 2025
Katiba ilifuatwa, Acha kutumia tumbo kufikiri..
 
hii mada inafanya nione watanzania baadhi hamjui mnachokitaka kenge kabisa.
Watanzania wako milioni 60, wanaojadili katika hii mada pamoja na wewe hawafiki hata watu ishirini(20).
 
Huyu mtu katukosea sana watanzania wenzake walipomwambia tunapotaka kwenda huyu mama (Rais Samia) hawezi mziki wake na kuwabishia.

General Mabeyo atuombe radhi watanzania.

Hussein Mwinyi for presidency 2025.
Ret gen mabeyo hawez kuja kuwaomba msanaha sababu alikuwa anatekeleza majukumu ambayo yako kwenye kiapo cha askari wa tpdf na ni moja ya core function ya tpdf .Kuilinda katiba ya jmt.

Whatever matokeo yaliyotokana na hayo that not his job. He was doing his job

Asingefanya hivyo pia mnge mnanga kwa uhahini na kutokuwa mzalendo. Which ingekuwa doa kubwa kwake
 
I agree.

Halikadhalika kwa nafasi yake sidhani kama unaweza fika juu hivyo bila ya uelewa wa risk assessment za taifa na kuchukua maamuzi sahihi.

Kilichotokea kimetokea, muhimu ni kujifunza makosa kutojirudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…