General Mabeyo akapige Sala ya Novena kutuomba msamaha Watanzania

Labda ndivyo walivyotaka !
 
Babu jifunze kidhungu.
 
Huu upuuzi wakuendekeza kuongozwa na familia sijui utawaisha lini.
Njaa ikihamia kichwani ubongo unakisa brake.
 
Labda ndivyo walivyotaka !
Watanzania wengi, hata wanaosema wanapenda demokrasia na utawala wa sheria, hawapendi kweli demokrasia na utawala bora.

Wanapenda upande wanaoutaka wao ushike madaraka tu.

Kama upande wanaoutaka wao hauko katika madaraka, watapiga kelele sana kuhusu demokrasia na utawala wa sheria.

Lakini pia, wako tayari kutumia njia zisizofuata demokrasia na utawala wa sheria kuutoa upande wasioutaka madarakani.

Ndiyo maana unaweza kukuta wanaongea kuhusu demokrasia na utawala wa sheria, halafu hapohapo wanachagiza mapinduzi ya kijeshi.

Contradiction.
 
Point yako ni nzuri. Afande aombe radhi kwa kweli
 
Huyu mabeho anatakiwa kufungwa kifungo Cha maisha jela Kwa kasababisha Nchi yetu kuongozwa na mwenye uwezo mdogo na Sasa Kila siku watu wanatekwa na mambo mengine mengi ya kijingakijinga yanafanyika
Hamna shukran. Alikuwepo Mwalim Nyere akina Kambona walikimbia, akaja mwinyi wakarudi, akaja mkapa kuna watu walikimbia nchi, akaja kikwetwe wakarudi, alikuja Magufuli Lissu na Lema walikimbia kuja Samia wakarejea nchini.
Hamjajifunza tu kitu hapo?
 
Bora kukimbia kuliko kutekwa mchana kweupe na kuuliwa hadharani na kinyama kama walivyomuua mzee kibao Chini ya maagizo kutoka kizimkazi
 
Huyu mabeho anatakiwa kufungwa kifungo Cha maisha jela Kwa kasababisha Nchi yetu kuongozwa na mwenye uwezo mdogo na Sasa Kila siku watu wanatekwa na mambo mengine mengi ya kijingakijinga yanafanyika
Inshu ni rtd. cdf au katiba yetu?. Rtd. Cdf alisisitiza katiba ifatwe kama ilivyo, and he did his part.
 
Hizi ngonjera mbona zinashika kasi baada ya wale watu wa wazuri hawafi kutolewa kwenye safu ya keki ya taifa........pambaneni na hali zenu MAMA MPAKA 2030 HIO
 
Huyu mabeho anatakiwa kufungwa kifungo Cha maisha jela Kwa kasababisha Nchi yetu kuongozwa na mwenye uwezo mdogo na Sasa Kila siku watu wanatekwa na mambo mengine mengi ya kijingakijinga yanafanyika
Mtu mwenye akili hawezi kumlaumu mabeyo kwa kusimamia katiba
 
Hate the game not players! Katiba ndio iliamua Samia awe rais, Mabeyo alisimamia tu matakwa wa katiba,
 
Risk assessment olitakiwa ifanywe na ccm walipokuwa wanafanya vetting ya makamu wa rais 2015.
Mabeyo kasimamia katiba tu ambayo ipo toka 70s
 
Dogo unarudia kosa Lile lile kama la mabeyo
Unaeeka mbele utashi wako binafsi
Takwa letu kama taifa si watu ni mifumo

Mi nadhani hata huyu mama akibadilika akatuletea katiba mpya hatuna noma naye
Kuna kitu Mayor Quimby ameeleza kuhusu JPM na kuhusu SSH kinachohitaji mtu shupavu asiye yumbishwa na awe mkali. KUBADILI TABIA au UTAMADUNI wa watanzania mfano uadilifu, uwajibikaji n.k
Hivyo vitu ni zaidi ya Katiba na sheria.
Sasa ktk Katiba hii hii inayolalamikiwa Kuna mambo mengi yamekatazwa kikatiba na watu wanayafanya Tena kwa uwazi hawawajibishi.

Wakidaiwa kodi wakalazimishwa na vyombo vilivyo kikatiba wanagoma au wanalialia.
Mtu mwenye cheti batili anaona haki yake kuoewa kazi inayo mhitaji mwenye cheti halali.
 
Huyu mabeho anatakiwa kufungwa kifungo Cha maisha jela Kwa kasababisha Nchi yetu kuongozwa na mwenye uwezo mdogo na Sasa Kila siku watu wanatekwa na mambo mengine mengi ya kijingakijinga yanafanyika
Kila siku mnataja katiba katiba sasa mlitaka yeye afanye nn wakati katiba inasema hvyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…