General Muhoozi akishika madaraka tutafata Tanzania baada ya kuwa DRC wameisha, tujipange

Wacha tuajili form four failure wengi kwenye jeshi bila kuwekeza kwenye technology
 
Mimi sijali nawaambia tu moja kwa moja! Nyinyi watutsi hamfai! Na ni hatari kwa usalama wa hii nchi Tz. Mnapaswa kutangazwa ni adui wa taifa.
Chuki za Kiafrika sote tunazijua,hata Wachaga wanachukiwa hapa Tanzania wacha nikiambie kitu angalia Jamii zote zenye kujielewa zinachukiwa sana na jamii ambzo hazijielewi.
 
Labda vita ya CCM na CHADEMA ndo wanashida ila vinginevyo wataishia kuvunja matofali tu ,kuzuia maandamo ya CHADEMA
Jaribuni na kimbau mbau wenu. Alafu atakapokimbilia uamishoni mfateni mumuulize vizuri kwanini umekimbia. Ule ujinga wa congo wa kuwa wanafiki kwa nafsi zao ndiyo kinawafanya mumuone kimbau mbau anaweza sana siyo. Watu wasio na nidhamu wale wacongo wanaolelewa na wanawake zao?. Mwambieni ajaribu maana hata madini bongo land yapo ya kumwaga aje pia. Hao uliowataja watakufa hata wazo la kusogea Tanzania wakiwa hawana
 
🤣🤣🤣 ivi unalinganishaje usalama wa nch moja na nyingne? Wanaijua tz tusha wachapa mpaka idi amn akasepa sembuse huu mtt wa mama anaye mtegemea bb yake
 
🤣🤣🤣 ivi unalinganishaje usalama wa nch moja na nyingne? Wanaijua tz tusha wachapa mpaka idi amn akasepa sembuse huu mtt wa mama anaye mtegemea bb yake
Kumbuka kumkabili Iddi Amin tulisaidiana na vikosi vya Uganda na Rwanda.
 
Chuki za Kiafrika sote tunazijua,hata Wachaga wanachukiwa hapa Tanzania wacha nikiambie kitu angalia Jamii zote zenye kujielewa zinachukiwa sana na jamii ambzo hazijielewi.
Wewe unanichekesha sana!

Huwa nachukia asiyependa haki tu na asiyeienzi amani kwa kuangalia misingi ya haki na usawa kwenye jamii. Kitu ambacho watutsi mmefeli kukionyesha.

Linalochukiwa si kabila! Bali ni mwenendo wenu mliyohodhi ambao unalitia najisi kabila lenu zima. Na kwa taarifa yako wapo wenzako ambao ni wapenda amani wamekiri hizo tabia mnazo na ndizo ambazo zinawafanya jamii yenu kubwa kuzungumziwa vibaya.

Wachagga siwachukii na wala sina mpango nao! Maadamu ni watanzania na wanaishi vizuri kwangu haina shida.

Mimi naipenda Tz. Maisha yangu kwa asilimia kubwa yamekulia hapa! Nikienda sehemu nyengine naenda na kurudi hapa Tz. Yaani nasema narudi nyumbani.

Mababu zangu 6 yaani kutoka babu mpaka babu mpaka babu mpaka akazaliwa baba yangu wamekufa na wote wamezikiwa hapa hapa!

Hata kama asili ni sehemu fulani ila Tz kwangu ni nyumbani.

Siwezi nikafurahia sehemu kama hiyo watokee jamii fulani waanze kuleta tabia zao mbaya kujiona bora kama wayahudi na kuleta machafuko ndani ya jamii zilizowazunguka. Piga uwa wewe mtu utakuwa ni adui yangu.

Ndivyo nilivyofundishwa; na si unajua na kwetu tunafundishwa na dini: Popote itakaposimama haki nami nipo!

Na mfano hai nilishawahi kumueleza wazi zaidi ya mara 2 ndugu Malaria 2 kuwa ni sheikh mzuri, ila haki yake isichague yalipo mapenzi yake, bali yachague kwa usawa. Naam, ndivyo nilivyo!

Na kingine unanichosha huwa sipendi kuandika sana.
 
Wachagga siwachukii na wala sina mpango nao! Maadamu ni watanzania na wanaishi vizuri kwangu haina shida.
Wewe Mhutu uwachukie Wachaga kama nani wakati mimi nasema Jamii za Kitanzania?!
 
Wewe Mhutu uwachukie Wachaga kama nani wakati mimi nasema Jamii za Kitanzania?!
😂😂😂😂😂

Ndiyo kawaida yenu!

Nimeanza kuwasoma tangu Uzi za 2013.

Mkiambiwa ukweli huwa mnaanza kuwashambulia watu na kuwaita wahutu sijui na jina gani lile jengine..

Hii hainipi tabu 😂😂😂😂

Tena uisiishie hapo, niite majina yote mnayowaita wahutu.
 
Licha ya uwepo wao lakini nasikia Kuna mapandikizi kibao ndani ya nchi na serikalini Tena wengine wapo ktk ngazi za maamuzi.

Swali ni je walipenyaje mpaka kufika huko?
Haya mambo haya epukiki kwenye medani za ujasusi mbona tz imepandikiza marais wa nchi zote jirani?
 
Ndiyo kawaida yenu!
Watanzania tutapambana na Idiolojia yenu ya HUTU POWER mpaka tone la mwisho la Jasho na Damu, hii Idiolojia tukiiacha hapa Tanzania itatuchonganisha na Ndugu zetu Wamasai Wairaqwi Watindiga Wabarbaig Wameru Wamachame Warangi nk.Chuki zenu dhidi ya Wanyarwanda bakizeni huko huko Buja.
 
JWTZ kama wanaiona hii habari wasiipuuze.... na nyie machawa hizi ndio habari za kumpelekea Samia na mawaziri wake na sio kumpelekea habari zinazohusiana na Lisu anapanga mikakati gani...

Mawaziri wake
 
Mkuu weka namba yako hapa tukuchangie hata teni teni kwa uzalendo uliotukuka...

Shida ni moja tu... Jeshi letu lijitahidi listing ikiendelea kabisa siasa. Kama kipindi kafariki Magu, CDF akaamuru katiba ifuatwe... Libaki hivyo nasi wananchi tunalipenda na kulithamini sana.
 
Hahaha!

Kama kawaida yenu!

Yaani mnapita kwenye njia za zilezile za wayahudi!

Wakiambiwa ukweli, wewe ni Antisemitic.

Na nyinyi watutsi mambo ndiyo vilevile! Mkiambiwa ukweli mnawaita watu wahutu!

Kwa bahati zuri mnajulikana jinsi mlivyo!

Tutaendelea kuwapiga spana humu JF mpaka mtakimbia.
 
JWZT Watu sijui mnawachukuliaje.. TISS sijui mnaichukulia aje....

Hapa Africa ukitoa nchi kama 4 hakuna wa kuweza kushinda vita na Tz hayupo..
Kupokea ushauri ni faida sana. Haya ya kale eti tuliwapiga Uganda, ni historia. Mwaka 1986 Museveni kutokea msituni alimtoa Obote ikulu. Mwaka 1996 Kagame akisaidiwa na Uganda alimtungua Habyarimana na kuikalia Rwanda hadi leo baada ya genocide iliyoanza 1994. Serikali ijenge uzalendo wa hali ya juu kwa vijana, kuajiri askari weledi wa hali ya juu bila kufuata ukada, U CCM na undugu, kuwafundisha, kuwalipa vizuri na kuweka usawa kivyama. Ubaguzi mkubwa uliopo kwa vyama ktk ajira, fursa za mikopo ya vijana na maslahi mengine vinawaondoa waliotengwa kuichukia serikali na kujiondoa kuipigania nchi. Wakati wa Nyerere huduma zilikuwa bure na sawa kwa raia wote. Hivyo kila mtu alijivunia matunda ya nchi. Leo huduma za afya, elimu, ajira na mengineyo hutolewa ki CCM zaidi. Tukivamiwa walionyimwa huduma na fursa watakaa pembeni.
 
Mtusi wa damu huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…