prisca ngweshemi
New Member
- Aug 15, 2015
- 1
- 0
Ndugu zangu Watanzaia wa kulaumu wala sio huyo Ccm km wengi tunavyojielekeza. Km sikumbuki mwaka ambao watu wameonekana kuzinduka juu ya kutambua kuwa kupiga kura ni wajibu sio hiari ni hii 2015. Mkanganyiko ni pale walioshiriki kwa kiasi kikubwa kuiangamiza ndio wameoekana kuhitaji sana kutaka kukamata nchi tena kwa kununua wanaojiita vyama pinzani. Sera ya kupigs vita rushwa, ubadhilifu na ufisadi imeuawa. Kuruhusu wati kununua uongozi kama bidhaa faida yake ndio hiyo. Balaa la rushwa sasa limevamia upinzani. Uadilifu, taaluma, uzoefu wala bidii sio sifa ya kuzingatiwa tena. Upepo wa upinzani km ulielekea kutufikisha pwani kututoa ktk kungamia na ufisadi, sasa kwa mabadiliko yaliyotokea ktk duru za siasa naonà tunarudi kilindini kuzama kabisà. Laana tuliyonayo wala so ya kuulizana Bali Ni ya baba yetu Wa taifa Mwl Julias K.Nyerere kwa kumkiukà na kubomoa misingi ya taifa aliyoijenga kwa vitendo na maelekezo yasiyopinda wala kufichika. Sawa na baba ktk familia aliyetumia muda, mali na uwezo wake wote kuijenga misingi imara kwa familia yake. Wakàt wa kuondoka dunia unapokaribia anaachia wtt wake wakubwa wosia lkn hata kabla ya kufariki waanze kwenda kinyume na pindi anapokufà ndio wanashindana kufuja na kujilimbikizia mali paspo hofu wala aibu na sisi wtt wadogo tunatazama na kujifanya km hatuoni. Hapo ndipo làana ilipo kwa watanzania. Uchaguzi tunaufanya km jambo la mchezo. Tuchague sifa sio jina wala sura ya mtu na fedha walizotupora. Siku hizi mtu anachoandàa ni fedha ya uchaguzi na timu yake bila kujiangalia sifà km anafàa. Nasi bilà kubagua chama, ukishapewa pesa, pombe na maneno ya kuchanganya
unakosa mwelekeo na lengo la maisha ya muda wa miaka 5. Hàkuna wa kulaumu labda km sasa tunaanza kujitambua tuangalie nia na utashi pasipo kusikia ubabaishaji. Kulia ndio inasaidia nn, tiacheni ujinga. Wakati wa kwenda kuchagua kipngozi tujitulize tuchague anaeweza kurudisha ndoto za BB wa taifa kutaka kuona maendeleo halisi na sio dhihaka jamani.........!!!!!!!!! Wa TZ turudishe heshima kwa kuonyesha utashi sio kubabaishwa na ngonjera. Tuna kazi kubwà kurejesha nchi yetu ktk mstari. Mungu waonyeshe watanzsnia nani tumchague aweze kututoa hapa.