Shepherd
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 2,428
- 1,656
Utasikia chama chajenga nchi wakati wao ndio waliacha mambo mazuri ya awamu ya kwanza yateketee.Kati ya mwaka 1997 - 2005 General Tyre ilikuwa ikilipa VAT Tsh 375,000,000/= hadi 500,000,000/= kwa mwezi.Nikija kwenye kodi zingine ndio utashangaa hawa viongozi wanaolilia madaraka hadi kufikiwa kuwanunua wachungaji na masheikh huku wakiwahawezi kutawala hata kuku ndio nashindwa kuelewa Tanzania tuna laana ya nani.