General Tyres Tanzania ilivyohamishiwa Kenya na kuitwa YANA tyres!

General Tyres Tanzania ilivyohamishiwa Kenya na kuitwa YANA tyres!

Ndugu zangu Watanzaia wa kulaumu wala sio huyo Ccm km wengi tunavyojielekeza. Km sikumbuki mwaka ambao watu wameonekana kuzinduka juu ya kutambua kuwa kupiga kura ni wajibu sio hiari ni hii 2015. Mkanganyiko ni pale walioshiriki kwa kiasi kikubwa kuiangamiza ndio wameoekana kuhitaji sana kutaka kukamata nchi tena kwa kununua wanaojiita vyama pinzani. Sera ya kupigs vita rushwa, ubadhilifu na ufisadi imeuawa. Kuruhusu wati kununua uongozi kama bidhaa faida yake ndio hiyo. Balaa la rushwa sasa limevamia upinzani. Uadilifu, taaluma, uzoefu wala bidii sio sifa ya kuzingatiwa tena. Upepo wa upinzani km ulielekea kutufikisha pwani kututoa ktk kungamia na ufisadi, sasa kwa mabadiliko yaliyotokea ktk duru za siasa naonà tunarudi kilindini kuzama kabisà. Laana tuliyonayo wala so ya kuulizana Bali Ni ya baba yetu Wa taifa Mwl Julias K.Nyerere kwa kumkiukà na kubomoa misingi ya taifa aliyoijenga kwa vitendo na maelekezo yasiyopinda wala kufichika. Sawa na baba ktk familia aliyetumia muda, mali na uwezo wake wote kuijenga misingi imara kwa familia yake. Wakàt wa kuondoka dunia unapokaribia anaachia wtt wake wakubwa wosia lkn hata kabla ya kufariki waanze kwenda kinyume na pindi anapokufà ndio wanashindana kufuja na kujilimbikizia mali paspo hofu wala aibu na sisi wtt wadogo tunatazama na kujifanya km hatuoni. Hapo ndipo làana ilipo kwa watanzania. Uchaguzi tunaufanya km jambo la mchezo. Tuchague sifa sio jina wala sura ya mtu na fedha walizotupora. Siku hizi mtu anachoandàa ni fedha ya uchaguzi na timu yake bila kujiangalia sifà km anafàa. Nasi bilà kubagua chama, ukishapewa pesa, pombe na maneno ya kuchanganya
unakosa mwelekeo na lengo la maisha ya muda wa miaka 5. Hàkuna wa kulaumu labda km sasa tunaanza kujitambua tuangalie nia na utashi pasipo kusikia ubabaishaji. Kulia ndio inasaidia nn, tiacheni ujinga. Wakati wa kwenda kuchagua kipngozi tujitulize tuchague anaeweza kurudisha ndoto za BB wa taifa kutaka kuona maendeleo halisi na sio dhihaka jamani.........!!!!!!!!! Wa TZ turudishe heshima kwa kuonyesha utashi sio kubabaishwa na ngonjera. Tuna kazi kubwà kurejesha nchi yetu ktk mstari. Mungu waonyeshe watanzsnia nani tumchague aweze kututoa hapa.
 
Hamna haja ya kuanzisha jukwaa maalum. Mashirika yote ya Umma yalianzishwa kwa namna moja na kufa kwa namna moja, to wit,
1.Sera mbovu bila malengo yanayojulikana (obscure objectives)
2.Usimamizi mbovu (for overseeing ideological and not commercial outcomes) wa bodi
3.Uongozi mbovu, menejimenti zilizokuwa zinajipendekeza kwa wanasiasa, bila kuwa na weledi wa uongozi au uzalishaji
 
Gosh! This is the most touching discussion I have ever encountered on JF, indeed on any forum site. I am deeply saddened by these lamentations of pipo watching haplessly as their country's being pilaged by the so called ''leaders''.
Those who were involved in the collapse of those industries surely must be having hearts made of stone if they can read these bitter comments and not get even slightly pricked by their conscience. It's really sad.

Watanzania, even here in Kenya we had so many such vibrant industries that foundered owing to impropriety during the KANU regime, and its effect was catastrophic to our economy. It led to widespread poverty due to unemployment, a situation we havent quite recovered from to this day.

Even though we were emotionally attached to KANU cos.....well, it was the party that struggled so valiantly for our independence and helped mould our national character, Kenyans had to make the difficult decision in 2002. We just had to dispense with KANU, cos it was now defective...
 
Kwa anaye fahamu sababu ya kuiba vinu vya kutengeneza matairi ya ubora wa hali ya juu kutoka kiwanda maarufu Nchini na Duniani kilichokuwepo Arusha juzi juzi tu cha General tyres na kuvihamishia Kenya ambapo wanavitumia kutengenezea matairi ya Yana tyres then wanakuja kutuuzia hayo matairi huku Tanzania, nini chanzo?

============================

==========================================

==================================

=====================================
hatupo serious watz mizaha hii mpaka lini?
 
Kulikuwa na Coffee Curing pale Moshi na Tanalec kule Arusha, hivi navyo vinajikongoja au vilishakufa?

Kibo Match pale Moshi kipo mochwari sasa hivi.
Breweries aahh inauma ...
***2015 operation Delete CCM*** basi
Yaani Babu yangu (RIP) alijenga nyumba ya block kwa kuuza kahawa tuu
 
Kwa anaye fahamu sababu ya kuiba vinu vya kutengeneza matairi ya ubora wa hali ya juu kutoka kiwanda maarufu Nchini na Duniani kilichokuwepo Arusha juzi juzi tu cha General tyres na kuvihamishia Kenya ambapo wanavitumia kutengenezea matairi ya Yana tyres then wanakuja kutuuzia hayo matairi huku Tanzania, nini chanzo?

============================

==========================================

==================================

=====================================

Ngongo,
nimekusifu sana kwa mawazo mapana na ujuzi ulio nao katika tairi. umeweza kuufafanua mwenendo mzima wa utendaji uliisababisha maafa. je kiwanda kiwanda hiki cha nani?
 
Ndugu zangu Watanzaia wa kulaumu wala sio huyo Ccm km wengi tunavyojielekeza. Km sikumbuki mwaka ambao watu wameonekana kuzinduka juu ya kutambua kuwa kupiga kura ni wajibu sio hiari ni hii 2015. Mkanganyiko ni pale walioshiriki kwa kiasi kikubwa kuiangamiza ndio wameoekana kuhitaji sana kutaka kukamata nchi tena kwa kununua wanaojiita vyama pinzani. Sera ya kupigs vita rushwa, ubadhilifu na ufisadi imeuawa. Kuruhusu wati kununua uongozi kama bidhaa faida yake ndio hiyo. Balaa la rushwa sasa limevamia upinzani. Uadilifu, taaluma, uzoefu wala bidii sio sifa ya kuzingatiwa tena. Upepo wa upinzani km ulielekea kutufikisha pwani kututoa ktk kungamia na ufisadi, sasa kwa mabadiliko yaliyotokea ktk duru za siasa naon?- tunarudi kilindini kuzama kabis?-. Laana tuliyonayo wala so ya kuulizana Bali Ni ya baba yetu Wa taifa Mwl Julias K.Nyerere kwa kumkiuk?- na kubomoa misingi ya taifa aliyoijenga kwa vitendo na maelekezo yasiyopinda wala kufichika. Sawa na baba ktk familia aliyetumia muda, mali na uwezo wake wote kuijenga misingi imara kwa familia yake. Wak?-t wa kuondoka dunia unapokaribia anaachia wtt wake wakubwa wosia lkn hata kabla ya kufariki waanze kwenda kinyume na pindi anapokuf?- ndio wanashindana kufuja na kujilimbikizia mali paspo hofu wala aibu na sisi wtt wadogo tunatazama na kujifanya km hatuoni. Hapo ndipo l?-ana ilipo kwa watanzania. Uchaguzi tunaufanya km jambo la mchezo. Tuchague sifa sio jina wala sura ya mtu na fedha walizotupora. Siku hizi mtu anachoand?-a ni fedha ya uchaguzi na timu yake bila kujiangalia sif?- km anaf?-a. Nasi bil?- kubagua chama, ukishapewa pesa, pombe na maneno ya kuchanganya
unakosa mwelekeo na lengo la maisha ya muda wa miaka 5. H?-kuna wa kulaumu labda km sasa tunaanza kujitambua tuangalie nia na utashi pasipo kusikia ubabaishaji. Kulia ndio inasaidia nn, tiacheni ujinga. Wakati wa kwenda kuchagua kipngozi tujitulize tuchague anaeweza kurudisha ndoto za BB wa taifa kutaka kuona maendeleo halisi na sio dhihaka jamani.........!!!!!!!!! Wa TZ turudishe heshima kwa kuonyesha utashi sio kubabaishwa na ngonjera. Tuna kazi kubw?- kurejesha nchi yetu ktk mstari. Mungu waonyeshe watanzsnia nani tumchague aweze kututoa hapa.

Kaburi wamelichimba wenyewe hawa magamba awangaliii mbele wao uona mita mia 2
 
Kwa swala la viwanda kufa ni shida kubwa sana sidhani kama tungekua na tatizo kubwa la ajira kama ilivyo sasa

Naomba kama inawezekana tuweke thread inayo onesha viwanda vilivyo fungwa kwa makusudi na watawala wasio waaminifu kwa kila mkoa.

Mfano Kilimanjaro kuna Machine tools pale junction ya kwenda Machame na Kiwanda cha Magunia kule Kiboroloni.

Mkuu sijui kama unayafahamu vizuri mambo ya wa Bulgaria wakati wakijenga hicho kiwanda. Walitakiwa wajenge kiwanda cha kuyeyusha chuma na kuunda vitu siyo cha kuunganisha sehemu za machine walizounda kwao. Pili container zilizokuwa zinaleta parts za mashine zilikuwa zinajazwa magunia ya Kahawa zinarudi bila hata kukaguliwa pale bandarini. Wabulgaria waliibuka na kuwa wauzaji wakubwa wa kahawa Eastern Europe. Kilichosikitisha ni pale wanasiasa walipokubali msaada usioleweka bila kutafuta ushauri wa wahandisi. Niliwahi kumtamkia Mzee Mwakawago (wakati huo nadhani akiwa Katibu Mkuu), kwamba hakitadumu maana msaada ulikuwa wa kilaghai.
 
Asante kwa kunipata maarifa zaidi nilikua silifahamu hili MpendaTz
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa kunipata maarifa zaidi nilikua silifahamu hili MpendaTz

Tycoon, nchi yetu ni tajiri mno lakini tunaendeshwa zaidi kwa nguvu za siasa bila hata chembe ya kuzingatia utaalam. Kama madaraka ya Raisi yataendelea kubakia kama yalivyo sasa, kwamba anachagua kila kiongozi ili wamwabudu aliye Ikulu na walio karibu naye, sahau kabisa maana yatakayokuwa yanatokea ni ya aina hiyo hiyo. Hakuna mabadiliko and our economy will never be sustainable, never! Tutaendelea kuomba omba tuuu. Hata hii kodi wanayochachamalia, yes ni muhimu sana lakini nchi inatakiwa kuzalisha bidhaa zake na zilizo bora. Na ili bidhaa hizo zipate soko na ziweze kupenyeza soko la dunia ni vizuri kuhalkikisha at least 60 to 80% ya mali ghafi inatoka ndani na inakuwa processed nchini. Kwa kiwango kikubwa mali ghafi tunazo lakini utaalamu wa kuprocess ni finyu. Hata madini yenyewe yanatushinda. Leo hii eti India wanauza Tanzanite nyingi duniani kuliko sisi na Maraisi wanakaa Iluku wanajisifu. Wakiumwa wanakimbilia huko kutibiwa.
 
Hii inatokana na tulivyo na roho mbaya na tupo kifamilia zaid, wengine wakome.
 
Ndugu zangu Watanzaia wa kulaumu wala sio huyo Ccm km wengi tunavyojielekeza. Km sikumbuki mwaka ambao watu wameonekana kuzinduka juu ya kutambua kuwa kupiga kura ni wajibu sio hiari ni hii 2015. Mkanganyiko ni pale walioshiriki kwa kiasi kikubwa kuiangamiza ndio wameoekana kuhitaji sana kutaka kukamata nchi tena kwa kununua wanaojiita vyama pinzani. Sera ya kupigs vita rushwa, ubadhilifu na ufisadi imeuawa. Kuruhusu wati kununua uongozi kama bidhaa faida yake ndio hiyo. Balaa la rushwa sasa limevamia upinzani. Uadilifu, taaluma, uzoefu wala bidii sio sifa ya kuzingatiwa tena. Upepo wa upinzani km ulielekea kutufikisha pwani kututoa ktk kungamia na ufisadi, sasa kwa mabadiliko yaliyotokea ktk duru za siasa naonà tunarudi kilindini kuzama kabisà. Laana tuliyonayo wala so ya kuulizana Bali Ni ya baba yetu Wa taifa Mwl Julias K.Nyerere kwa kumkiukà na kubomoa misingi ya taifa aliyoijenga kwa vitendo na maelekezo yasiyopinda wala kufichika. Sawa na baba ktk familia aliyetumia muda, mali na uwezo wake wote kuijenga misingi imara kwa familia yake. Wakàt wa kuondoka dunia unapokaribia anaachia wtt wake wakubwa wosia lkn hata kabla ya kufariki waanze kwenda kinyume na pindi anapokufà ndio wanashindana kufuja na kujilimbikizia mali paspo hofu wala aibu na sisi wtt wadogo tunatazama na kujifanya km hatuoni. Hapo ndipo làana ilipo kwa watanzania. Uchaguzi tunaufanya km jambo la mchezo. Tuchague sifa sio jina wala sura ya mtu na fedha walizotupora. Siku hizi mtu anachoandàa ni fedha ya uchaguzi na timu yake bila kujiangalia sifà km anafàa. Nasi bilà kubagua chama, ukishapewa pesa, pombe na maneno ya kuchanganya
unakosa mwelekeo na lengo la maisha ya muda wa miaka 5. Hàkuna wa kulaumu labda km sasa tunaanza kujitambua tuangalie nia na utashi pasipo kusikia ubabaishaji. Kulia ndio inasaidia nn, tiacheni ujinga. Wakati wa kwenda kuchagua kipngozi tujitulize tuchague anaeweza kurudisha ndoto za BB wa taifa kutaka kuona maendeleo halisi na sio dhihaka jamani.........!!!!!!!!! Wa TZ turudishe heshima kwa kuonyesha utashi sio kubabaishwa na ngonjera. Tuna kazi kubwà kurejesha nchi yetu ktk mstari. Mungu waonyeshe watanzsnia nani tumchague aweze kututoa hapa.
Acha kujipendekeza!! Ni nani wa kulaumiwa kama siyo CCM?! Kabla ya Azimio la Zanzibar viongozi wetu wote walikuwa hawana utajiri, lakini baada ya hilo azimio kila kiongozi alijitafutia mahali pa kijitafutia utajiri na ndipo rasilimali za nchi vikiwemo viwanda zilipoanza kuporwa!!
 
Last edited:
Back
Top Bottom