Mwenyekiti wa Chama anaweza akafukuza wanachama wake wote ambao at that given time ndio wabunge ? Hata akifanya hivyo wanaweza kwenda mahakamani na kuwa wabunge wa mahakama (thoretically) kwahio tu pull it off sio rahisi..., kama ilivyo nchi nyingine zote to pull something off sio rahisi; (Ndio maana Republicans wanamkumbatia Trump) ingawa ni tofauti na normal Republicans ila ndio hivyo anawaletea mkate wa kila siku (Kura za kuweza Kula)Offcourse as mwenyekiti wa chama, she can simply cut them off
Mfumo wetu una flaw na loophole nyingi, yes ya wenzetu ina shida pia but si critical kama wa kwetu
No place kiongozi mkuu ataweza wajibishwa kwa lolote kwa chochote hata kama akivuruga
Kwamba hio ipo Kikatiba; Yaani wizi umeruhusiwa kwenye Katiba ? Au kuvunja Katiba ndio Katiba....Mamlaka ya Urais wa nchi yetu ni ya kifalme. Yaani kwa mfano leo Rais Samia hata akitaka kufanya lolote lile liwe baya ama zuri kwa nchi HAKUNA mamlaka yoyote ya kuhoji ama kumwajibisha kisheria - mbaya zaidi hata akistafgu pia haipo.
Hizi chaguzi huwa ni kiini macho - yeye ana uwezo wa kuwaambia wasaidizi wake nipeni wabunge idadi hii, madiwani idadi hii na kura zangu ziwe idadi hii - hakuna wa kuhoji wala kuguna.
Ni kweli hii nchi ni ya kifalme.
Kama alivyofanya yule wa Chato,katuachia genge la wahuni mjengoni wanapitisha kila urojo unaoletwa na serikali kwa vile waliingizwa mjengoni na dola na siyo wapiga kura na kwa maana hiyo utii wao ni kwa serikali iliyowapa ulaji.Mamlaka ya Urais wa nchi yetu ni ya kifalme. Yaani kwa mfano leo Rais Samia hata akitaka kufanya lolote lile liwe baya ama zuri kwa nchi HAKUNA mamlaka yoyote ya kuhoji ama kumwajibisha kisheria - mbaya zaidi hata akistafgu pia haipo.
Hizi chaguzi huwa ni kiini macho - yeye ana uwezo wa kuwaambia wasaidizi wake nipeni wabunge idadi hii, madiwani idadi hii na kura zangu ziwe idadi hii - hakuna wa kuhoji wala kuguna.
Ni kweli hii nchi ni ya kifalme.
Kuna loop holes lakini pia kuna mifumo ya kumuwajibisha kiongozi kwa misconduct yoyote itakayo athiri nchci kwa loloteMwenyekiti wa Chama anaweza akafukuza wanachama wake wote ambao at that given time ndio wabunge ? Hata akifanya hivyo wanaweza kwenda mahakamani na kuwa wabunge wa mahakama (thoretically) kwahio tu pull it off sio rahisi..., kama ilivyo nchi nyingine zote to pull something off sio rahisi; (Ndio maana Republicans wanamkumbatia Trump) ingawa ni tofauti na normal Republicans ila ndio hivyo anawaletea mkate wa kila siku (Kura za kuweza Kula)
By the way they is a possibility that a Convicted Criminal could the next US President in the next coming days..,; Kwahio talking about loopholes they are everywhere in every country Political System...; Dawa pekee ni kuwa na informed Citizens ambao wanaweza kusema enough is enough..., asking for now na sio miaka mitano ijayo au kwa kuona kitu fulani hakipo sawa kukidai sasa hivi na sio kuongelea Sheria inasema nini (Sababu kama Katiba ni Sheria na Sheria zinavunjwa kila leo) Basi utamaduni wa kuendelea kuvunja Sheria utaendelea hata kama Katiba ikiandikwa na Malaika....
Kweli kabisaUhuni wa kuwanyang'anya watu uraia ulianzishwa na Mkapa na ulianzia kwake.
Baada ya kupokonywa uraia wakadhani wamemfunga mdomo, kumbe wapi bw!
Poapoa tumekusikia. Haya turudi kwenye mada husika.Huyu anazeeka vibaya
Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake
ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma
Afya ya akili
A sitting president of the United States has both civil and criminal immunity for their official acts. Neither civil nor criminal immunity is explicitly granted in the Constitution or any federal statute.Kuna loop holes lakini pia kuna mifumo ya kumuwajibisha kiongozi kwa misconduct yoyote itakayo athiri nchci kwa lolote
Leo hii her excellence akiamua kuwafuta uanachama baadhinya wabunge , wata nung,unika mitandaoni but hawatochukua hatua yoyote ile, why? Rais huyo huyo ana appoint judges, even speaker lazima awe kuna baraka zake.
Do you think unaweza kwenda head to head na head of state ambae almost ana teua wakuu wa taasis kwenye mihimili muhimu ya nchi?
We all know nini kitatokea
But fanya the same marekani, bunge lenyewe linaweza kuku impeach, rais na madaraka yake but kuna vyombo vina act kama check and balance, almost kila muhimili unajitegemea kikweli kweli
Hapa bongo wanaweza? I dont think so
NI part ya mfumo huyokama mfumo haujabadilika, basi tumpongeze kwakua consistency
Huna haja ya kwenda mbaaali na kutoa poooovuYeye anazungumzia Katiba na taasisi ya Urais hamzungumzii Samia, hivi ujinga utawaisha lini nyie vibaraka wa CCM?
Inaudhi na kusikitisha sana, tumelaaniwa wapi?Nimemsikia akiongea mahali mchambuzi huyu wa mambo ya kisiasa anasema Tanzania ina Rais jina tu lakini kiuhalisia mamlaka ya rais wa Tanzania ni ya kifalme.
Sii Baraza la mawaziri wala bunge lenye mamlaka ya kumfanya chochote rais wa Tanzania.
Kwa maana hiyo rais yuko juu ya Sheria
Mimi hoja aliyosema nakubaliana nayo, basiNI part ya mfumo huyo
Labda Kama nyie wageni yerusalemu
Mpumbafu sana wewe! Kuna chochote alichokosea Generali au wewe tu ndio watumia nywele kufikiri? Tumia akili kidogo basi!Huyu anazeeka vibaya
Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake
ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma
Afya ya akili
AujamuelewaHuyu anazeeka vibaya
Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake
ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma
Afya ya akili
Hii Katiba inamfavour Mtawala ndio maana kila Mtawala hataki kuibadilisha...Nyerere alituachia Azimio la Arusha, Ccm wakaliondoa.
..kama alituachia katiba ya kibabe nani anawazuia Ccm wasiibadilishe kama walivyofanya kwenye Azimio.
Udsm is sm extended high school nilimuelewa sanaWazee wachache waliobaki na upeo wa mambo makubwa.
Nasikitikia sana nchi yangu baada ya miaka 20 wazee watakao kuwepo.
Nashukuru sana kwa kunielewaAujamuelewa
Anachozungumzia hapo ni katiba na sheria wala si chuki kwa mtu binafsi
Mpumbavu wewe, mama yako, baba yako, familia yako, Kama unafuga basi hiyo Mifugo mipumbavu, na wapumbavu zaidi jibu zao wako au hata Mali uanzomilikiMpumbafu sana wewe! Kuna chochote alichokosea Generali au wewe tu ndio watumia nywele kufikiri? Tumia akili kidogo basi!