Generali Ulimwengu: Miaka 60 baada ya uhuru tuna rais mfalme hawajibiki kwa mamlaka yoyote

Huyu anazeeka vibaya

Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake

ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma

Afya ya akili
Kitu ambacho hujakielewa hapo; yeye hajatuhumu mtu, ametuhumu katiba so kwa maneno mengine ni kwamba kwa katiba hi tulionayo, hata yeye akija kua rais hali itakua hiyo hiyo. Hajamtuhumu mtu yeyote hapo; again, hili sio jambo jipya, hata mwalimu Nyerere aliwahi kulidokeza hili jambo tena akiwa bado madarakani; kwamba katiba ile, rais ni kama Mungu mtu. Ni wewe tu ndio hujamuelewa Jenerali Ulimwengu
 
Huyu anazeeka vibaya

Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake

ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma

Afya ya akili
Hapa umefikiria au uhai na pumzi ya bule ndo vimekupa ujasiri wa kuandika
 
Si kweli!
Baraza la mawaziri wanaweza kumuondoa rais madarakani.
Na kwa mujibu wa ibara ya 56A ya katiba, Bunge linaweza kumuondoa rais madarakani.
P
 
Ni kweli
 
Endeleeni na UCHAWA-UBWELA

It is easier kuondoa rais kuliko kumtoa baba ndubwi kwenye position
 
Huyu anazeeka vibaya

Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake

ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma

Afya ya akili
Hahaaaa umemaliza huyu anaona anazeeka v8 anaziona kwenye tv so wacha propose kwa stress
 
Huyu anazeeka vibaya

Magu alikua mbaya kwake
Mkapa pia alikua mbaya kwake
Samia ni mbaya kwake

ILA yeye tu ndio mzuri kwa umma

Afya ya akili
Una akili kiduchu sana mkuu.
Anaingelea kiti au mamlaka ya rais na sio mtu.

Hata mimi na wewe tukiwa marais bado katiba hii itatufanya tuishi kama wafalme kwa vile hakuna mamlaka iliyopewa uwezo kumwajibizha rais.
 
Lakini si huyu huyu Ulimwengu alimlaani JPM na kumsifu na kumpamba Mama? Soma makala zake za EA
 
Si kweli!
Baraza la mawaziri wanaweza kumuondoa rais madarakani.
Na kwa mujibu wa ibara ya 56A ya katiba, Bunge linaweza kumuondoa rais madarakani.
P
Bunge lipi!? Au hujui linatekleza ilani? Na Au wabunge waliopo ni wa wp!? Na wanazngka kukagua uteklezaj wake (wamama kwa wazee, hadi watt wao)! Jaribu usijichaflie jina, tofautisha nadharia na hali halisi.
 
This is your bottom line

Abuse to the gender - and that sums up akili yako

Tatizo hampendi challenges
Challenges ipi hapo au upuuzi tu huo? Huwa nasema siku zote shule za kata ni tatizo zinazalisha wajinga wengi
 
Mzee wa chato hakutakiwa kuwa rais.
 
Soma Ibara ya 56A ya katiba ya JMT ya mwaka 1977
P
Ipo kinadharia tu.Kivitendo haiwezekani kwa zama hizi za- a)CCM kujimilikisha/kuhodhi nguvu zote kimaamuzi- b)Kuwa na bunge ( na judiciary?) joga linaloogopa mzizi uliojichimbia chini zaidi-c)wananchi waliozubaa na wamebaki na hewala bwana.
 
Kweli Katiba inampa madaraka ya kifalme.....Rais wa Tanzania......haina ubishi...Bunge linamuogopa Baraza Mawaziri......
 
Mkuu ufalme wa rais wa Tanzania unatokana na ukondoo, umbumbumbu na umaiti wa watanganyika wenyewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…