SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wewe ungepigwa life ban kabisa nyie ndiyo mnaifanya JF kuwa ya hovyo kwa kuvuruga mijadala na hoja zenu za kipumbavuMtu wa Hai anaenda kusomewa mashitaka Arusha ili iweje?
Hai hamna mahakama? Na mkoa wa Kilimanjaro je?....
Kwa mwendazake, Sabaya alikuwa juu ya mama. Nashangaa hilo umeshindwa kuliona.
Kiongozi siku zote yuko sahihi. Wangefanya nini wakati mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama, dc Sabaya ndie mharifu?
Ni maswali tata sana mbayo tungependa kumuuliza Shujaa. Ni kweli hakujua kuwa mteule wako anatuhumiwa na kufadhili genge la kihalifu?...
Kwenye macho yako wewe na mwendazake, mama alikuwa weak na Sabaya alikuwa strong. Nakushangaa hujanielewa.Mama alikuwa weak ndio maana Mpango alitumwa na Jiwe kwenda kuwasuluhisha; angetunisha misuli kwa mamlaka ya kuwa RC huyo jambazi asingesekohoa!!!
Kama walinufaika nae jeKiongozi siku zote yuko sahihi. Wangefanya nini wakati mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama, dc Sabaya ndie mharifu?
Nenda ukamtetee Jambazi sasa.Mtu wa Hai anaenda kusomewa mashitaka Arusha ili iweje?
Hai hamna mahakama? Na mkoa wa Kilimanjaro je?....
Kwa kweli Rais Samia amewakumbusha wateule wake kuwa cheo ni dhamana.Huyu kijana ni miongoni mwa vijana kadhaa duni na masikini ambaye alikuwa kinara aliyetumika kwenye kila uchafu aliofanya Sabaya , akamatwe haraka na aunganishwe kwenye kesi ya Mfadhili wake Sabaya...
Tumewaonya mara nyingi sana , bado Mnyeti na MakondaKwa kweli Rais Samia amewakumbusha wateule wake kuwa cheo ni dhamana...
Makonda is very nextTumewaonya mara nyingi sana , bado Mnyeti na Makonda
usimsahau bilionea Mnyeti tayari tushamuweka kwenye radarMakonda is very next
Huyo Ole nini wenu tayari watu wameshamla huko Kisongo, mkimuona anakuja akiwa amechakaa mjue ni kipigo alicholeta kipindi akijifanya mbishi kuliwaHuyu kijana ni miongoni mwa vijana kadhaa duni na masikini ambaye alikuwa kinara aliyetumika kwenye kila uchafu aliofanya Sabaya , akamatwe haraka na aunganishwe kwenye kesi ya Mfadhili wake Sabaya
View attachment 1808499
Kwa yeyote mwenye kumjua mpambe mwingine aliyetumika kufanya uhalifu na Sabaya amuweke hapa ili tuisaidie serikali .
Huyu si ndo yule alionekana Hai akivuluga mikutano ya Mbowe , huku akimsifu mwendazake akiwa na kundi flani , au nimechanganya sura ,mkuuHuyu kijana ni miongoni mwa vijana kadhaa duni na masikini ambaye alikuwa kinara aliyetumika kwenye kila uchafu aliofanya Sabaya , akamatwe haraka na aunganishwe kwenye kesi ya Mfadhili wake Sabaya...
ndiyeHuyu si ndo yule alionekana Hai akivuluga mikutano ya Mbowe , huku akimsifu mwendazake akiwa na kundi flani , au nimechanganya sura ,
Huyo atakua keshafika Msumbiji kitambo tu kujiunga na wale jamaaHuyu kijana ni miongoni mwa vijana kadhaa duni na masikini ambaye alikuwa kinara aliyetumika kwenye kila uchafu aliofanya Sabaya , akamatwe haraka na aunganishwe kwenye kesi ya Mfadhili wake Sabaya...
Thanks , nakwambia na nilisha sema apa jf , wasipo tubu , vilio , vitakua juu yao , nilisema kabla ya mwendazake baada ya uchaguzi na nasema tena ,jinamizi kubwa laja juu yao wasipo tubu, ilishakua na itakua,ndiye
Hakuna wa kumgusaMakonda is very next