Tanganya toto, hakuna kitu hapo....Huyu kijana ni miongoni mwa vijana kadhaa duni na masikini ambaye alikuwa kinara aliyetumika kwenye kila uchafu aliofanya Sabaya , akamatwe haraka na aunganishwe kwenye kesi ya Mfadhili wake Sabaya
View attachment 1808499
Kwa yeyote mwenye kumjua mpambe mwingine aliyetumika kufanya uhalifu na Sabaya amuweke hapa ili tuisaidie serikali .
Wakiguswa mnakimbilia kumshambulia mama Samia.Hakuna wa kumgusa
Ana kitu gani cha maana hadi asiguswe? Watu wanamgusa Manji sembuse huyo bonge nyanyaHakuna wa kumgusa
Kwa mwendazake, Sabaya alikuwa juu ya mama. Nashangaa hilo umeshindwa kuliona.
AseeeeKwa mujibu wa member mmoja humu, ilikuwa ni Saa 8
Mh, umekariri maongeziHakuna Rais aliekua akifuatilia "A - Z" mienendo ya wateule wake kama Magufuli, hata Nyerere hamfikii. Magufuli ilifikia hatua alikiri mbele ya vyombo vya habari kwamba anawafuatilia mpaka maongezi yao kwenye simu...
Hata weye ulikuwa unajua kilichokuwa kinaendelea!!! Na hukuchukua hatua yeyote kama raia wa nchi hii, hukufanya kitu kwa kuwa ulilinda uhai wako. Mtu kama OCD angefanya nini naye alilinda kibarua chake.Ni maswali tata sana mbayo tungependa kumuuliza Shujaa. Ni kweli hakujua kuwa mteule wako anatuhumiwa na kufadhili genge la kihalifu?...
Dikteta Jiwe alikuwa katili sana, jambo la kushukuru ni kwamba nayeye ni zilipendwa kwa sasa.Jiwe alikuwa ni katiri na alitafuta makatiri wenzie waonee raia... Ukatiri wa Jiwe nadhani ni wa kutisha sana hawa kina Saba na Makondakta ni sehemu tu ya mifano ya ukatiri wa Jiwe... nilisikia Jiwe alishampasua mtu kwa risasi ya kichwa kikapasuka ndani ya white house... isije kuwa ndie saa 8 masikini... jiwe alitakiwa nae awe ndani pamoja na genge lake la kikatiri ikiwezekana mwili wake ufukuliwe upelekwe lock up
Si ndiyo maana leo kafikishwa mahakamani we unadhani uchunguzi na taarifa unaanzaga siku moja kabla mtuhumiwa kufikishwa mahakamani!!!! Taarifa zinaweza kuanza kupelekwa mwaka 2019 mtuhumiwa akapelekwa mahakamani 2022.DSO ndio kazi yake kutoa taarifa za siri kuhusu mwenendo wa hao viongozi. Je huyo wa Hai alikuwa anapeleka taarifa juu ya uharamia wa huyo DC?
Hata 7ya walidhani hivyo.... atubu asamehewe watanzania ni wasahaulifu na wenye upendoHakuna wa kumgusa
Hakuna ambacho mwendazake alikua hajui kuhusu sabaya, sema alishasema hapangiwiNi maswali tata sana mbayo tungependa kumuuliza Shujaa. Ni kweli hakujua kuwa mteule wako anatuhumiwa na kufadhili genge la kihalifu?...
Ole hakufanya uharamia ktk eneo lake tu la kuongoza, alienda hata nje ya mipaka yake, mfano Arusha.Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Hai ina maswali ya kujibu.
Walikuwa wapi wakati uharamia wote ukifanyika?
Kama hiyo ni kweli kuwa uchunguzi hufanywa na tarifa za watuhumiwa hupelekwa kwa wakuu kuchukua hatua,,afisa Ardhi wa Hai hawezi kuwa kazini!!!Si ndiyo maana leo kafikishwa mahakamani we unadhani uchunguzi na taarifa unaanzaga siku moja kabla mtuhumiwa kufikishwa mahakamani!!!! Taarifa zinaweza kuanza kupelekwa mwaka 2019 mtuhumiwa akapelekwa mahakamani 2022.
hawa ma OCD, DED na DC trinity in the hellNi maswali tata sana mbayo tungependa kumuuliza Shujaa. Ni kweli hakujua kuwa mteule wako anatuhumiwa na kufadhili genge la kihalifu?...
Yote yanawezekana.Hakuna Rais aliekua akifuatilia "A - Z" mienendo ya wateule wake kama Magufuli, hata Nyerere hamfikii. Magufuli ilifikia hatua alikiri mbele ya vyombo vya habari kwamba anawafuatilia mpaka maongezi yao kwenye simu...
Bora Mungu katuondolea ile laana jiwe.wewe unasikia sabaya alikuwa anateka watu alafu unauliza kama magufuri hakuwa anajua.
Magufuri ndio muanzilishi wa ushenzi wa namna hii hapa nchini.
watu walikuwa wanatekwa nyakati za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, lakini basi walikuwa wanapiga japo mikwara mbuzi, lile bwege lenyewe lilikuwa linashangilia kabisa
Kwa kweli Magufuli alikuwa ni kiongozi mmoja muovu sana.Ni maswali tata sana mbayo tungependa kumuuliza Shujaa. Ni kweli hakujua kuwa mteule wako anatuhumiwa na kufadhili genge la kihalifu?....