Genge la Kihalifu la Sabaya, ni kweli Hayati Magufuli hakulijua? OCD Hai unafanya nini kazini mpaka muda huu?

Haya maongezi uliyadukua mkuu, hadi ku'paraphrase' hivi?

Sihoji uovu wa hao wawili; lakini nina shaka, wewe ulipataje maneno ya uhakika hivi?
 
Unamaanisha ifunguliwe kesi dhidi ya marehemu?! Au sijakuelewa vizuri?
 
Ushahidi
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu OCD WA HAI KAMANDA SIRRO NI KASHFA KWAKO MTOE MAANA NDIO ALIKUWA ANAKILINDA KIKUNDI CHA SABAYA NA HATA SILAHA ALIZOKUWA ANATUMIA SABAYA NA GENGE LAKE ALIPEWA NAE NA UKIANGALIA MAENEO MENGI WALIOFANYA UHALIFU WALIKUWA PAMOJA
 
Kumbe Wamachame my waoga hivi ...yaani mtu alieapanda kichwani mnamwangalia tu....aisee hata kumroga mlishindwa! Huyu angekuwa kwetu Kalenge angetulia tu...muulizeni Happi alitulia mwenyewe akabaki jukwaani tu!
 
Kwa hiyo sasa hivi tutegemee kuona ujambazi ukipungua mitaani siyo? Maana sabaya liko sero
 
Kumbe Wamachame my waoga hivi ...yaani mtu alieapanda kichwani mnamwangalia tu....aisee hata kumroga mlishindwa! Huyu angekuwa kwetu Kalenge angetulia tu...muulizeni Happi alitulia mwenyewe akabaki jukwaani tu!
Retaliation inafanywa kisomi bwashee,sasa hivi yuko ananyea kisado,baada ya hapo atakuwa free ball for anyone to give a kick
 
Hata kama unasema huyo Sabaya alikuwa juu ya huyo mama , basi huyo mama alishindwa hata kumchukuliia hatua afisa Ardhi wa Hai ambae yeye mama alijua kuwa alikuwa corrupt?
Kama afisa ardhi alikuwa anapewa back up na Jambazi saambaya hakuna namna Mama angeweza kumfanya lolote bila ridhaa ya hili Jambazi saambaya!

Twende mbele turudi nyuma, hata Mama Mgwira alikuwa anakaa kimya ili kujilinda maisha yake. Maana Jambazi ni kama alipewa ruhusa ya kumtoka roho yeyote atakayeonekana kuwa kikwazo kwenye harakati zake za "kuutokomeza upinzani Kilimanjaro na Arusha."
 
Kilichofanywa na sabaya Ni zaidi ya uhuni, kupewa ukuu wa wilaya ilikuwa Ni bahati Sana kwa kweli...
 
Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya na ya mkoa nazo ziwajibishwe kwann zikikaa kimya hadi afanye uhalifu wote huo
 
Kwani hizo taasisi ndio zinateua viongozi?
Muuulize anaefanya Teuzi....hakupewa hzo taarifa....

Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
 
Labda maji yakimfika shingoni huyo Sabaya, atawataja wote aliokuwa akipiga nao dili pamoja
Hali yake ni mahamumu,j3 anapanda kizimbani kili na j5 manyara,atapelekwa n dom,dar kote huko kapiga matukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…