GENTAMYCINE NA DONALD TRUMP wanafanana tabia kwa asilimia kubwa sana

Gengis Khan wa Jf

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
1,311
Reaction score
3,344
Mzuka wana jamvi ?

Katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa member ngluli wa Jf GENTAMYCINE na Rais wa Marekani Donald Trump ni watu ambao wanafanana sana tabia .

1. Wote hata uwe rafiki yake vipi na uwe unamsifia siku ukimkosoa na kupishana nae basi lazima akutweze na kukuona hauna akili kutumia maneno kama juha, Popoma , idiot, certified fool , imbecile nk

2. Staiki zao za uandishi inafanana . kuchanganya herufi kubwa na ndogo kubwa haswa akitaka kukazia point , kupenda kuweka neno kwenye mabano na Quotation Mark kwenye baadhi ya maneno .

Cheki post chini Trump akiwatukana na kuwadhalilisha MAGA fans wake baada ya kumkosoa , na cheki uandishi kama Mzee GENTA
IMG_20260418_152025.jpg

3. Kupenda sifa na kujipakulia minyama hata kwa jambo dogo . Kitambo hiko usiombe GENTA atabiri jambo Jf hata matokeo ya mpira Kisha ikawa kweli ataandika nyuzi za kujisifia na kuwashambulia waliombeza , alishindwa tuzo Jf ya mwanajukwaa Bora la michezo basi tukawa hatupumui usimkosoe kidogo tayari anaanza kujisifia , mara followers nk 😂

Ukija kwa Trump kila mda ni mtu wa kujisifia mara amemaliza vita 9 , kujiona yeye ni Yesu , kila kitu kutaka amepe credit nk.

4. Wote hawapendi kukoselewa wanajiona wao wanajua kila kitu na kupenda kulalamika . Trump vyombo vya habari vyote vinavyomkosoa anaita fake news na analalamika sana wakizidisha spana.

Genta ukimkosoa sana anakuona una chuki nae binafsi hata ukiwa unafanya just for funny kama Mzee LIKUD au secretarybird lazima atakuona mbaya na sometimes sana analalamika kwa mods kuwa hatendewi haki.

IMG_20260418_152448.jpg

Ni vingi sana hawa watu wanafanana kwa leo niishie hapo
 
View attachment 3574927

View attachment 3574930

Ni vingi sana hawa watu wanafanana kwa leo niishie hapo
Labda ndio trump mwenyewe😁
 
Back
Top Bottom