Gentleman. . .

ukweli
niache utani
sijui kwa nini kasema kwa lugha hiyo
angalau ana jeuri ha kusema hayo hadharani

I envy you, for real.

Wivu kwa kisemwa kilugha?
Ukute nimetukanwa.
 
pamoja na sie kuandika vitu tofauti hapa
komputa inaelewa 0 na 1 tu
hayo mengine ni mbwembwe

moyo unelewa kitu kimoja tu, LOVE.
Mengine mbwembwe
Wivu kwa kisemwa kilugha?
Ukute nimetukanwa.
 
pamoja na sie kuandika vitu tofauti hapa
komputa inaelewa 0 na 1 tu
hayo mengine ni mbwembwe

moyo unelewa kitu kimoja tu, LOVE.
Mengine mbwembwe

Loh. . . bora ningekutaja wewe ungeongea mwenyewe.
 
Mimi mwenyewe natumia mchina hapa siwezi hata kuufungua. Ngoja TF aje hapa atuambie maana yeye anatumia simu kali bana

Mr R nipe hata pole basi babaangu. . . .
 
Mr R nipe hata pole basi babaangu. . . .

Mhhh wala sikupi
Nilijua limoyo lako limenidondokea mimi hata kivuli chake kumbe kimepita mbali
Ahhh sitoi pole wala nini hapo labda ubadilishe mawazo
 
Nionavyo mm Lizzy ni mfano wa kuigwa! Hajasubiri kuwezeshwa! Kajiwezesha mwenyewe na ameweza, “PENDING NN Reply At LEAST“ lait wadada mngechukua huu mfano
 
Mhhh wala sikupi
Nilijua limoyo lako limenidondokea mimi hata kivuli chake kumbe kimepita mbali
Ahhh sitoi pole wala nini hapo labda ubadilishe mawazo
Poa bana. . . ngoja nitafute pakujichimbia mpaka hili liskendo lisahaulike.
 
Nionavyo mm Lizzy ni mfano wa kuigwa! Hajasubiri kuwezeshwa! Kajiwezesha mwenyewe na ameweza, “PENDING NN Reply At LEAST“ lait wadada mngechukua huu mfano

Sishauri aisee. . .
Mi mwenyewe nimekoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…