Gentleman. . .

ha ha ha, ujue huyu binti ananchanganya
asije akamwacha nanii kwenye mataa
wakati sasa hivi anajiandaa kwa kutoa makombora yake yote
Usijali binti anatikisa kiberiti...huyu nani hii nae kapotea bana!
 

Haaahaa! Mtu kashafika bei, lol! That is how it works in the real world, unbelievable!!!!
 
@ Lizzy usiondoke vile mimi nipo upande wako bana..... Gentleman anajipanga sawa sawa akija hapa hutaamini macho yako....

Where is Nyani Ngabu jamani?

We na Kongosho wamoja, mnachofurahia ni drama tu.
 

Kongosho kwasababu tu nilifeli chekechea haina maana ni mjinga bana.
 
ukimuona utamhurumia
katupa kila kitu chini
anatafuta nguo ya kuja kukonfesi yaliyo moyoni mwake kwa kiswahili

nimemwambia mwishowe atatoka na taulo
eti kabati lote leo halifai!!!?
He he he! Avae vyovyote ila ahakikishe hatoki kisharobaro manake Lizzy na masharobaro mbali mbali...kazi ipo leo.
 
Unataka uelekee wapi?

Hapa


Source - Afrodenzi
 
really Lizzy?
Nifurahie drama toka kwako?
Wakati moyo unahusika!

Big NO, nasema hayo sababu naamini hayo
kama kanidanganya, basi ni wote tumerushwa
We na Kongosho wamoja, mnachofurahia ni drama tu.
 
nyie mwatoka migombani

sie twatoka machimboni
unadhani sitaki 'my wii' mkali
nikipeleka umbea kwake ananikimbiza?ambaye anaamini katika uaminifu?

Machungu ya Lizzy ni yangu pia
msinitenge
Lizzy!!! Umesahau twatoka mgombani pamoja? Machungu yako yangu pia...
 
really Lizzy?
Nifurahie drama toka kwako?
Wakati moyo unahusika!

Big NO, nasema hayo sababu naamini hayo
kama kanidanganya, basi ni wote tumerushwa
Ungekua hupendi mbona ungeshanitafsiria kila kitu neno kwa neno. . . .

Ngoja na wewe siku nikugeuke.
 
kwa kiswahili kasema ivi,
NN, naomba nikusaliti hapa
nimegundua damu ya wifi nzito kuliko ya kaka wa leo tu


'Nampenda sana huyu binti'

Lizzy, nikipigwa ban ya maisha umenitakia wewe, roho yangu ya id na iwe juu yako.
Ungekua hupendi mbona ungeshanitafsiria kila kitu neno kwa neno. . . .

Ngoja na wewe siku nikugeuke.
 
kwa kiswahili kasema ivi,
NN, naomba nikusaliti hapa
nimegundua damu ya wifi nzito kuliko ya kaka wa leo tu


'Nampenda sana huyu binti'

Lizzy, nikipigwa ban ya maisha umenitakia wewe, roho yangu ya id na iwe juu yako.

Hahahahaha. . . eti damu ya wifi nzito zaidi.

Nwy bado naona dalili za usanii.
 
You are being too hard on him.

Mie nshasaliti, sasa sijui ntaenda wapi.
Ntalala hata jikoni kwako sitaiba mboga kwenye kabati la mbeho

Hahahahaha. . . eti damu ya wifi nzito zaidi.

Nwy bado naona dalili za usanii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…