EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
Huyo mtu huwezi kumpata akiwa tayari a gentleman as described by Lizzy, just take the one you are attracted to alafu mgeuze hivo basi...
Don't expect a man to change or try to change him.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mtu huwezi kumpata akiwa tayari a gentleman as described by Lizzy, just take the one you are attracted to alafu mgeuze hivo basi...
Usijali binti anatikisa kiberiti...huyu nani hii nae kapotea bana!ha ha ha, ujue huyu binti ananchanganya
asije akamwacha nanii kwenye mataa
wakati sasa hivi anajiandaa kwa kutoa makombora yake yote
Right here in JF. . . .
There is a certain gentleman,
who posseses the qualities of a real man
One with uncompromising principles,
And great ambitions.
His irresistible charm. . . takes me by storm.
Lizzy
Natamani kuwe na wakaka wanaofanana na huyu in the real world, wanaojielewa na kuelewa wengine. Wenye mawazo ambayo sio ya kibinafsi kama ya wengine tuliowazoea, wenye mioyo ya dhahabu kama wake, wenye msimamo kama yeye, heshima na akili kama zake. A real husband material. . . a man worth loving.
@Lizzy
wasiwasi wako
nachojua NN kajibu tena kwa lugha ya heshima
alichoshindwa kujua ni kwamba anavyothamini ku-declear his Love kwa lugha yake inaweza kuwa si muhimu hivyo kwako.
Kama dada wa leo, nakuhakikishia kasema ' he loves you, so much' na neno really lilikuwepo ila sijui hapo nilichomeke wapi.
Kizungu lugha ngeni.
Unajua nakufagilia hata kama sisemi.
Ukinichukia unanionea, ukinipenda unajipendekeza kwa ajili ya fulani.
Mie nshatost for this kapo
my wish is 'Health, Love and money'
He he he! Avae vyovyote ila ahakikishe hatoki kisharobaro manake Lizzy na masharobaro mbali mbali...kazi ipo leo.ukimuona utamhurumia
katupa kila kitu chini
anatafuta nguo ya kuja kukonfesi yaliyo moyoni mwake kwa kiswahili
nimemwambia mwishowe atatoka na taulo
eti kabati lote leo halifai!!!?
Lizzy!!! Umesahau twatoka mgombani pamoja? Machungu yako yangu pia...We na Kongosho wamoja, mnachofurahia ni drama tu.
Unataka uelekee wapi?
Hopeful one day you will get a chance to meet her in a real Life..
Trust me she is so different, loving, trustworthy, incredibly nice ,
when comes to looks, i can't even try to describe her beauty. ( stunning, breathtaking)
Marvelous personality, .................. will be back soon.
We na Kongosho wamoja, mnachofurahia ni drama tu.
Lizzy!!! Umesahau twatoka mgombani pamoja? Machungu yako yangu pia...
Ungekua hupendi mbona ungeshanitafsiria kila kitu neno kwa neno. . . .really Lizzy?
Nifurahie drama toka kwako?
Wakati moyo unahusika!
Big NO, nasema hayo sababu naamini hayo
kama kanidanganya, basi ni wote tumerushwa
Ungekua hupendi mbona ungeshanitafsiria kila kitu neno kwa neno. . . .
Ngoja na wewe siku nikugeuke.
kwa kiswahili kasema ivi,
NN, naomba nikusaliti hapa
nimegundua damu ya wifi nzito kuliko ya kaka wa leo tu
'Nampenda sana huyu binti'
Lizzy, nikipigwa ban ya maisha umenitakia wewe, roho yangu ya id na iwe juu yako.
Hakyanani siko upande wao!...wasukuma na wachaga wapi na wapi?...tuwaseme tu aisee!We umeside na hao walugha bana, au kama vipi na sisi tuwaseme. . . .!!
Hahahahaha. . . eti damu ya wifi nzito zaidi.
Nwy bado naona dalili za usanii.