Gentleman. . .

Gentleman. . .

SL ntarelax vipi wakati ndani ya siku moja nimefunguka nikamwaga sifa kibao, nikafunguka tena zaidi, nikatolewa nishai, nikasema kilugha na bado Kongosho akataka kuniingiza town na tafsiri matata?

Ngoja nichukue mapumziko ya muda, ntarudi aibu na uchungu vikiisha.

@NN japo umenidissapoint kwa kunisema/nijibu kwa kilugha chenu nakuachia ugentleman wako. Japo sitakufagilia zaidi , sitoua.

@Kongosho sikupendi tena, umenivuta weeeee mpaka nikaangukia uso alafu hata hukuninyanyua ukanikanyaga na kunikanyaga.

@Mr. Rocky, nafurahi nimegundua mapema kwamba wewe sio rafiki yangu.

@Boss hayo mashtaka potezea tu bana, adhabu yangu nimeshaipata.

@Mbu nimerudi rasmi nilipokuwepo, sasa hivi hamna cha vigezo wala viwango kufikiwa, narudi kuwa mwanajeshi.

@Michelle. . . dearest uniletee ice cream ya kujiliwaza.

@Kurwa usiache kuja kunibembeleza.

@Wengine wote fanyeni kama hamjaona kwanzia nilipomtaja huyo gentleman.

So long. . . . .

Dearest, am proud of you....this is what we call Daring, well done, the best is yet to come.....!!

On my way, with your favourite ice cream and some more surprises....see you soon!!

Love is in the air......you go Lizzy!
 
Forget the ice cream dearest. . . i'm all cheered up now. How about we go out instead. . . . ?
 
Umbea huu!!
nimesoma tangu 1pg ,tangu Lizzy wa ukweli afunguke nataman NN nae afunguke mazima nasi wapambe tujue!
funguka pls gentleman NN.
 
Right here in JF. . . .

There is a certain gentleman,
who posseses the qualities of a real man
One with uncompromising principles,
And great ambitions.
His irresistible charm. . . takes me by storm.
Lizzy

Natamani kuwe na wakaka wanaofanana na huyu in the real world, wanaojielewa na kuelewa wengine. Wenye mawazo ambayo sio ya kibinafsi kama ya wengine tuliowazoea, wenye mioyo ya dhahabu kama wake, wenye msimamo kama yeye, heshima na akili kama zake. A real husband material. . . a man worth loving.

check out p unit (ke) current hit song lyrics 'Gentleman ' sijui huyu ndio husband material au vipi? Mistari/Nipate baby kwenye bar! Uliza shorty what u drinking cause i am gentleman kwani iko nini?
 
Umbea huu!!
nimesoma tangu 1pg ,tangu Lizzy wa ukweli afunguke nataman NN nae afunguke mazima nasi wapambe tujue!
funguka pls gentleman NN.

Hahahahaha.
Kweli unapenda umbea.
 
Dearest, i borrowed money to buy this ice cream for you, and now,you tell me to forget it? well, am not happy...let me go back home and watch desperate housewives and then sleep....!!
I tought you'b be happy for me dearest?

Now I really am down. Sorry for dissapointing you dearest. . . .I'll refund you.
 
check out p unit (ke) current hit song lyrics 'Gentleman ' sijui huyu ndio husband material au vipi? Mistari/Nipate baby kwenye bar! Uliza shorty what u drinking cause i am gentleman kwani iko nini?
Mmmh. . .
Ntausikiliza maana hata Boss alinipa link jana. Thanks
 
Dearest, i borrowed money to buy this ice cream for you, and now,you tell me to forget it? well, am not happy...let me go back home and watch desperate housewives and then sleep....!!

hahahahahahah Michelle bana ...
sweet dreams beautiful....
 
ha ha ha
Michelle, kwa nini umechagua hiyo series.
Choice yako imenichekesha
iko kidaku zaidi

Dearest, i borrowed money to buy this ice cream for you, and now,you tell me to forget it? well, am not happy...let me go back home and watch desperate housewives and then sleep....!!
 
Back
Top Bottom