Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
SL ntarelax vipi wakati ndani ya siku moja nimefunguka nikamwaga sifa kibao, nikafunguka tena zaidi, nikatolewa nishai, nikasema kilugha na bado Kongosho akataka kuniingiza town na tafsiri matata?
Ngoja nichukue mapumziko ya muda, ntarudi aibu na uchungu vikiisha.
@NN japo umenidissapoint kwa kunisema/nijibu kwa kilugha chenu nakuachia ugentleman wako. Japo sitakufagilia zaidi , sitoua.
@Kongosho sikupendi tena, umenivuta weeeee mpaka nikaangukia uso alafu hata hukuninyanyua ukanikanyaga na kunikanyaga.
@Mr. Rocky, nafurahi nimegundua mapema kwamba wewe sio rafiki yangu.
@Boss hayo mashtaka potezea tu bana, adhabu yangu nimeshaipata.
@Mbu nimerudi rasmi nilipokuwepo, sasa hivi hamna cha vigezo wala viwango kufikiwa, narudi kuwa mwanajeshi.
@Michelle. . . dearest uniletee ice cream ya kujiliwaza.
@Kurwa usiache kuja kunibembeleza.
@Wengine wote fanyeni kama hamjaona kwanzia nilipomtaja huyo gentleman.
So long. . . . .
Dearest, am proud of you....this is what we call Daring, well done, the best is yet to come.....!!
On my way, with your favourite ice cream and some more surprises....see you soon!!
Love is in the air......you go Lizzy!