Geor Davie ni nani?

Geor Davie ni nani?

Hivi ni kweli watu akili zao hazifanyi kazi ya kujua kuwa wanadanganywa hivi?. Wataliwa sana tena kweupeee. Wafanya mazingaombwe karibu wote nadhani wameacha kuonyesha mazingaombwe mashuleni, na sasa wamekuwa wachungaji.
 
If jesus christ were to appear today I wonder what he would say about the kind religious leader we have
 
Kutoka kwenye moyo wangu nikiachilia dhehebu langu lililonilea kingne nnachokifatilia n semina za Mch Mwakasege basi wengine wamekaa kuchumia tumbo ili mambo yao yaende vzr.Ukilijua neno wala hutopata shida na imani yako ila kama utataka miujiza jua wazi utatangatanga sana na makanisa ukija kushtuka ushachelewa.
 
Thenashara=12, ambao ni maswahaba (wanafunzi) sio body guard

Walikuwepo watu ambao ni nje ya hao wanafunzi, pia inaaminika kuwa Yesu alikuwa ni mwanaume wa miraba sita the likes of Samson...

Wanathiolojia wanaamini hivyo kwa kutumia evidence kama ile ya kupindua meza za wanyang'anyi kwenye hekalu, namna Wayahudi walivyopata tabu kumkamata n.k

Hivyo usidhani kuwa Kristo alikuwa mnyonge mnyonge tu...
 
Walikuwepo watu ambao ni nje ya hao wanafunzi, pia inaaminika kuwa Yesu alikuwa ni mwanaume wa miraba sita the likes of Samson...

Wanathiolojia wanaamini hivyo kwa kutumia evidence kama ile ya kupindua meza za wanyang'anyi kwenye hekalu, namna Wayahudi walivyopata tabu kumkamata n.k

Hivyo usidhani kuwa Kristo alikuwa mnyonge mnyonge tu...

Sawa dokta
 
Hivi ni kweli watu akili zao hazifanyi kazi ya kujua kuwa wanadanganywa hivi?. Wataliwa sana tena kweupeee. Wafanya mazingaombwe karibu wote nadhani wameacha kuonyesha mazingaombwe mashuleni, na sasa wamekuwa wachungaji.



we acha tu,Yesu mwenyw alisema hebu zijaribuni hizo roho kama kweli zimetoka kwa Mungu maanaxwengine wameingia kwa siri,si kila aitaye Bwana Bwana atauona ufalme wa Mungu,heri mtu yule alisikae neno langu na kuyashika mafundisho yangu.
 
Nimemwangalia Channel 10 juzi Jummane waumini wake walikuwa wanampa zawadi ya mbuzi na yeye akawapa zawadi ya mikate!! Wakafuarahi na kushangilia
 
Baadala ya kulindwa na Mungu na malaika wake analindwa na chopa, akipigwa na kimbunga walinzi watakizuia vipi?
 
Habar za jioni Nabii naomba mchango wako mwanangu amekosa ada ya kwenda shule,halafu naomba unisaidie kamtaji kadogo nianzishe kabiashara kaweze kukidhi mahitaj madogomadogo,natumaini utanisaidia.Barikiwa mpakwa mafuta wa Bwana.
 
Anatumia vibaya kodi zetu, hawa maafande hawana shughuli nyingine au ndio wanatafuta allowance zao hapo.

Mi naona hawa askari wa serikali anawalipa ili kuongeza mapambo kwenye mikutano, sioni ulinzi wanaotoa Bali Nao wAnamshangaa tu
 
Inaelekea huko kwenye makanisa ndio kwenye hela; ubunge nao unalipa lakini wabunge wakisha shindwa kupata ridhaa ya kuongoza basi nao huanzisha dini zao ili waendelee kuwaibia wananchi!!! Aliyekuwa mbunge wa huko Kasulu kwa miaka mingi aitwae Mporogomyi nae ameanzisha kanisa lake na ni Askofu!!!
 
Mkuu MziziMkavu nadhani umekosea jina la mtumishi wa Mungu majina yake sahihi ni.

Mheshimiwa Dr Nabii na Mtumee Askofu Mkuu Geordavie
Huyu Mtumishi wa Mungu vyeo vyote kampa nani? Hata huyo Papa wa

italy hana hivyo vyeo? Mkuu Ngongo huyu ( Mheshimiwa Dr Nabii na Mtumee Askofu Mkuu Geordavie) alicho kosa cheo kimoja tu na

yeye angelisema kuwa nimwana wa Mungu basi hapo angelifanana na Bwana Yesu kama wenzetu Wakristo walivyo mpa cheo Bwana

Yesu kuwa ni Mwana wa mungu na yeye huyu Mheshimiwa Dr Nabii na Mtumee Askofu Mkuu Geordavie angejipa cheo hicho

angelifanana na Bwana Yesu.Hawa ndio aliowasema Bwana Yesu kuwa Watakuja Manabii wa uongo ndio hawa wamesha kuja

tunawaona kwa maho yetu mwenye maho na akili ajionee mwenyewe kazi kwenu.
 
Imani jambo la ajabu sana amegawa kalenda kwa waumini wake na kuwaamuru wanapopata shida waiguse picha yake watatatuliwa matatizo yao na watakaoumwa waweke picha moja ya kwenye hiyo kalenda katika maji na kuyanywa arusha kalenda zake ni dili sana kama tanzanite hata migodini wanaitumia
 
Back
Top Bottom