sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Mchambuzi nambari moja wa soka hapa Tanzania, George Ambangile PhD amezawadiwa gari kwa mtindo wa surprise.
Ambangile ambaye amefanikiwa kuzima vipindi vyote vya uchambuzi wa soka bongo, amekuwa kipenzi cha wanakandanda kwa ustadi wake mkubwa wa kuifundisha soka redioni maana anachofanya ni zaidi ya uchambuzi anakufanya msikilizaji uelewe, ukujumuike kiwanjani na uone soka ni mchezo rahisi sana na wakuinjoi.
Hii ni muendelezo wa wasafi media kuwapa motisha wafanyakazi wanaofanya vizuri.
MaRaia wanasema bado Sanya!