George Ambangile apewa zawadi ya gari na Wasafi FM

George Ambangile apewa zawadi ya gari na Wasafi FM

Mchambuzi nambari moja wa soka hapa Tanzania, George Ambangile PhD amezawadiwa gari kwa mtindo wa surprise.

Ambangile ambaye amefanikiwa kuzima vipindi vyote vya uchambuzi wa soka bongo, amekuwa kipenzi cha wanakandanda kwa ustadi wake mkubwa wa kuifundisha soka redioni maana anachofanya ni zaidi ya uchambuzi anakufanya msikilizaji uelewe, ukujumuike kiwanjani na uone soka ni mchezo rahisi sana na wakuinjoi.

Hii ni muendelezo wa wasafi media kuwapa motisha wafanyakazi wanaofanya vizuri.

MaRaia wanasema bado Sanya!

View attachment 1766420
Afu unajua drammar za wasaf kwel au mahaba?
 
Sasa wewe ulitaka watu wapewe zawadi gani? haya basi kawachagulie zawadi za kutoa mnawqza shirki tu wabongo ndio maana amuendelei.
Nyumba ndo mchongo ndo maana mavoko altaka geto wakaona halina ujiko kwao
 
😂 😂 😂 😂
Mtaani bhana eti wale wanaopewa magari na Mondi huwa anawatindua mitaro, Sasa na huyu GA naye alitinduliwa? Maana watu wanahoji inakuwaje apewe gari bure tu? Maana pale alipo analipwa mshahara, analipiwa nyumba, kodi za maji na umeme. Hiyo gari kuna namna alifanywa na haiwezekani kupewa bure kuna jambo nyuma yake
 
Back
Top Bottom