George Ambangile apewa zawadi ya gari na Wasafi FM

Mavoko wakati akiwa WCB aliwahi kusema, kwanini yeye hakuwahi kupewa gari wakati akiwa hapo.

Akasema wengi wanaopewa magari hapo siyo bure.

Kama ni msanii ukipewa gari, utakuwa unakatwa kidogo kidogo kwenye mauzo yako.

Na kama una mshahara kama baba levo, utakuwa unakatwa kwenye mshahara.

Tatizo la Wasafi ni uongo na propaganda, as if wamekuzawadia bure.

Mbona yasemekana Kitenge alipewa 10M pamoja na gari kama pesa ya uhamisho kutoka EFM, lakini hawakutangaza??
Haya sawa, as long as inakupa burudani moyoni mwako.
 
Mavoko wakati akiwa WCB aliwahi kusema, kwanini yeye hakuwahi kupewa gari wakati akiwa hapo.

Akasema wengi wanaopewa magari hapo siyo bure.

Kama ni msanii ukipewa gari, utakuwa unakatwa kidogo kidogo kwenye mauzo yako.

Na kama una mshahara kama baba levo, utakuwa unakatwa kwenye mshahara.

Tatizo la Wasafi ni uongo na propaganda, as if wamekuzawadia bure.

Mbona yasemekana Kitenge alipewa 10M pamoja na gari kama pesa ya uhamisho kutoka EFM, lakini hawakutangaza??

Hata page yake ya insta nimeingia kucheki hajapost chochote, so sioni kama kuna ukweli wowote wa hii taarifa

🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Mchambuzi nambari moja wa soka hapa Tanzania, George Ambangile PhD amezawadiwa gari kwa mtindo wa surprise.

Ambangile ambaye amefanikiwa kuzima vipindi vyote vya uchambuzi wa soka bongo, amekuwa kipenzi cha wanakandanda kwa ustadi wake mkubwa wa kuifundisha soka redioni maana anachofanya ni zaidi ya uchambuzi anakufanya msikilizaji uelewe, ukujumuike kiwanjani na uone soka ni mchezo rahisi sana na wakuinjoi.

Hii ni muendelezo wa wasafi media kuwapa motisha wafanyakazi wanaofanya vizuri.

MaRaia wanasema bado Sanya!

View attachment 1766420

Hahaha yani Ambangile awe zaidi ya Shafii? Oscar Oscar? Maestro? Jeff Lea? Hahaha hivi navyo vituko...
Huyo ni mchambuzi mzuri tena wa mpira tuu lakini si namaba moja acha uongo hahaha
 
Hao uliwataja wanamzidi Nini George Ambangile kwa uchambuzi?
 
Hongera kwa George Ambangile...
Hongera yake George,
Ambangile Kibo namkumbuka kama ndio baba yake mdingi alikua mbabe sana.
Mwanae Patric Ambangile alikua best friend, na Asunta labda George mdogo wao ila atakua alikua mdogo sana.
 
Hahaha yani Ambangile awe zaidi ya Shafii? Oscar Oscar? Maestro? Jeff Lea? Hahaha hivi navyo vituko...
Huyo ni mchambuzi mzuri tena wa mpira tuu lakini si namaba moja acha uongo hahaha
Hao wote uliotaja hapo juu hawamfikii Maestro.

Ila pia ukimuweka Maestro pembeni hao wengine hawamfikii Ambangile.
 
watu wanachanganyakiwa na kitu kimoja, ambangile anaongea kinadharia sana, mara nyingi haziwi real, anajua kuelezea mpira ulivyokuwa, hapo kawazidi wachambuzi wengi, tena anawazidi hata makocha wenyewe wenye timu zao-ubaya wa nadharia bana unakuwa unajua kila kitu , ila ukitaka uchambuzi halisi wa kimpira ambao haupo kinadharia upo kihalisi msikilize dokta liki, maestro na dogo ali kamwe kwa mbali anakuja kuja.
 
Ambangile ni coach pia by profession.
 
Mkuu umenikumbusha Dr Licky.

Huyo mzee balaa.

Nakumbuka sku moja alimchambua Genaro Gattuso kwa kila kitu
Tuliokuwa tunaangalia ile fainali tulibaki kuenjoy
 
Mchambuzi nambari moja wa soka hapa Tanzania, George Ambangile PhD amezawadiwa gari kwa mtindo wa surprise.

Ambangile ambaye amefanikiwa kuzima vipindi vyote vya uchambuzi wa soka bongo, amekuwa kipenzi cha wanakandanda kwa ustadi wake mkubwa wa kuifundisha soka redioni maana anachofanya ni zaidi ya uchambuzi anakufanya msikilizaji uelewe, ukujumuike kiwanjani na uone soka ni mchezo rahisi sana na wakuinjoi.

Hii ni muendelezo wa wasafi media kuwapa motisha wafanyakazi wanaofanya vizuri.

MaRaia wanasema bado Sanya!

View attachment 1766420
Hivi bwana mdogo pale wasafi upo kitengo gan?
Kila siku unaimba na kusifu wasafi au wewe ndio baba levo?
 
Mchambuzi nambari moja wa soka hapa Tanzania, George Ambangile PhD amezawadiwa gari kwa mtindo wa surprise.

Ambangile ambaye amefanikiwa kuzima vipindi vyote vya uchambuzi wa soka bongo, amekuwa kipenzi cha wanakandanda kwa ustadi wake mkubwa wa kuifundisha soka redioni maana anachofanya ni zaidi ya uchambuzi anakufanya msikilizaji uelewe, ukujumuike kiwanjani na uone soka ni mchezo rahisi sana na wakuinjoi.

Hii ni muendelezo wa wasafi media kuwapa motisha wafanyakazi wanaofanya vizuri.

MaRaia wanasema bado Sanya!

View attachment 1766420
Utafiti gani umefanya ukaona yy ndo no1?
 
Back
Top Bottom