Duh! Hiv unajua maana ya chawa?
Nipe ufafanuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Hiv unajua maana ya chawa?
Yes nna uhakika, kwa uchambuzi wa soka kwa sasa hakuna kama Ambangile.Hongera sana Ambangile!
Mleta mada ulitakiwa ufikishe taarifa kama jinsi ilivyo bila kuongeza chochote, badala yake umeongeza chumvi ndani yake na kummwagia sifa.. ..una uhakika gani Ambangile ni nambari moja? Una evidence?
Kuna mmiliki mmoja wa radio alijifanyia interview kupitia radio yake. Akatoa povu jingi sana kwa wachambuzi soka wa asubuhi wenye akili tukajua kilio cha mtu mzima hicho Ambangile kabeba kijji chote.Sawa, kila mmoja na mtazamo wake.. ..ingia Instagram uone nani ana wafuatiliaji wengi/followers wengi..utapata jibu
🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
Dozen alipewa benzMchambuzi nambari moja wa soka hapa Tanzania, George Ambangile PhD amezawadiwa gari kwa mtindo wa surprise.
Ambangile ambaye amefanikiwa kuzima vipindi vyote vya uchambuzi wa soka bongo, amekuwa kipenzi cha wanakandanda kwa ustadi wake mkubwa wa kuifundisha soka redioni maana anachofanya ni zaidi ya uchambuzi anakufanya msikilizaji uelewe, ukujumuike kiwanjani na uone soka ni mchezo rahisi sana na wakuinjoi.
Hii ni muendelezo wa wasafi media kuwapa motisha wafanyakazi wanaofanya vizuri.
MaRaia wanasema bado Sanya!
View attachment 1765599
Good for him!Dozen alipewa benz
Watu wanapewa zawadi Mondi roho safi alafu mzigo upo usiwe na roho za kimaskini dogo.
Waasafi hawawezi kuwashinda EFM...mpira wenyewe wamecheza au kusoma kwenye mitandao nankuangalia clips YouTube ...Maestro kashuhudia kwenye TV live World cup 1990 ni sawa anyetazama sasa kwenye YouTubeMchambuzi nambari moja wa soka hapa Tanzania, George Ambangile PhD amezawadiwa gari kwa mtindo wa surprise.
Ambangile ambaye amefanikiwa kuzima vipindi vyote vya uchambuzi wa soka bongo, amekuwa kipenzi cha wanakandanda kwa ustadi wake mkubwa wa kuifundisha soka redioni maana anachofanya ni zaidi ya uchambuzi anakufanya msikilizaji uelewe, ukujumuike kiwanjani na uone soka ni mchezo rahisi sana na wakuinjoi.
Hii ni muendelezo wa wasafi media kuwapa motisha wafanyakazi wanaofanya vizuri.
MaRaia wanasema bado Sanya!
View attachment 1765599
He deserves.He deserved
Basi mpe wewe hiyoSasa mbona wametoa zawadi gari ya ajabu ajabu.
Si wangempa a Mercedes Benz or at worst a BMW????
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Samahani lakini. Huyu George Ambagile ndio Baba Levo.Mchambuzi nambari moja wa soka hapa Tanzania, George Ambangile PhD
Baba mmoja mama mmoja ila matumbo mbalimbali kila mtu na lake.Samahani lakini. Huyu George Ambagile ndio Baba Levo.
Dada hujui kua unakula ulipopeleka mboga??Basi mpe wewe hiyo
Acha uongo alitabiri Chelsea itashinda moja bilaHuyu jamaa jana asubuh kweny kipindi cha sports arena alitabiri game ya chelsea vs madrid itaisha 1-1 na imekuwa hvyo[emoji1316][emoji1316][emoji1316]! Wanaosikilizaga kipindi mashaidi!!
We uliskiliza au unakuja kubisha bisha hapa?Acha uongo alitabiri Chelsea itashinda moja bila
SikilizaShaffih dauda kaanza kujiunga na instagram muda mrefu pia kiumri ni mkubwa so lazima awe na followers wengi lakini kwasasa George Ambangile ni mchambuzi anayesikilizwa na watu wengi Sana kuliko hata shaffih
Kuhusu Insta, unaweza kutuambia ni nani mwenye followers wengi? Na je, hao followers ni kigezo cha moja kwa moja kwamba wanafata ubora wa mtu? Au wanafata vile vitu vinavyokuwa posted?
shafii dauda hana akili ya kuchambua mpira ni msomaji wa magazeti ya daily mirror ya UKSikiliza
Sikatai mkuu.. ..ambangile yuko vizuri kwenye swala la uchambuzi, namkubali sana.. ..lakini mnavyosema ni "mchambuzi nambari moja siwaelewi.. ..maana hamuna evidence wala kura za wadau zilizopigwa za kuthibitisha, he is the best analyst of all!!!
[emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji91][emoji91]
Mbali na followers wengi alionao shaffi.. .. angalia wadau wenyewe wanaochangia ni wengi kuliko kwa ambangile.. ..wako wanaomkubali na baadhi wasiomkubali na kumpenda kwa namna tofauti, ukilinganisha na ambangile mwenye wachangiaji wachache.. ..
Sikiliza
[emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji91][emoji91]
Mavoko wakati akiwa WCB aliwahi kusema, kwanini yeye hakuwahi kupewa gari wakati akiwa hapo.Watu wanapewa zawadi Mondi roho safi alafu mzigo upo usiwe na roho za kimaskini dogo.