George Ambangile apewa zawadi ya gari na Wasafi FM

Mwambieni Simba amfikirie MWALIMU Kashasha jamani.Inamaana mzee Kashasha atkufa bila ku-drive Crown😁😁
 
Hongera sana Ambangile!

Mleta mada ulitakiwa ufikishe taarifa kama jinsi ilivyo bila kuongeza chochote, badala yake umeongeza chumvi ndani yake na kummwagia sifa.. ..una uhakika gani Ambangile ni nambari moja? Una evidence?

Fanya research ndogo ya humu JF, tafuta threads zinazowazungumzia hawa wachambuzi hapa Bongo, utakuta George ana zaidi ya 40% ya wachangiaji.
 
Fanya research ndogo ya humu JF, tafuta threads zinazowazungumzia hawa wachambuzi hapa Bongo, utakuta George ana zaidi ya 40% ya wachangiaji.

Sawa, kila mmoja na mtazamo wake.. ..ingia Instagram uone nani ana wafuatiliaji wengi/followers wengi..utapata jibu

πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 
Sawa, kila mmoja na mtazamo wake.. ..ingia Instagram uone nani ana wafuatiliaji wengi/followers wengi..utapata jibu

πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
Shaffih dauda kaanza kujiunga na instagram muda mrefu pia kiumri ni mkubwa so lazima awe na followers wengi lakini kwasasa George Ambangile ni mchambuzi anayesikilizwa na watu wengi Sana kuliko hata shaffih
 
Sawa, kila mmoja na mtazamo wake.. ..ingia Instagram uone nani ana wafuatiliaji wengi/followers wengi..utapata jibu

πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯

Mimi nimetumia JF kwa sababu ni mtandao nao utumia zaidi.

Kuhusu Insta, unaweza kutuambia ni nani mwenye followers wengi? Na je, hao followers ni kigezo cha moja kwa moja kwamba wanafata ubora wa mtu? Au wanafata vile vitu vinavyokuwa posted?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…