George Ambangile apewa zawadi ya gari na Wasafi FM

Haya sawa, as long as inakupa burudani moyoni mwako.
 
Hata page yake ya insta nimeingia kucheki hajapost chochote, so sioni kama kuna ukweli wowote wa hii taarifa

🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Hahaha yani Ambangile awe zaidi ya Shafii? Oscar Oscar? Maestro? Jeff Lea? Hahaha hivi navyo vituko...
Huyo ni mchambuzi mzuri tena wa mpira tuu lakini si namaba moja acha uongo hahaha
 
Hahaha yani Ambangile awe zaidi ya Shafii? Oscar Oscar? Maestro? Jeff Lea? Hahaha hivi navyo vituko...
Huyo ni mchambuzi mzuri tena wa mpira tuu lakini si namaba moja acha uongo hahaha
Hao uliwataja wanamzidi Nini George Ambangile kwa uchambuzi?
 
Hongera kwa George Ambangile...
Hongera yake George,
Ambangile Kibo namkumbuka kama ndio baba yake mdingi alikua mbabe sana.
Mwanae Patric Ambangile alikua best friend, na Asunta labda George mdogo wao ila atakua alikua mdogo sana.
 
Hahaha yani Ambangile awe zaidi ya Shafii? Oscar Oscar? Maestro? Jeff Lea? Hahaha hivi navyo vituko...
Huyo ni mchambuzi mzuri tena wa mpira tuu lakini si namaba moja acha uongo hahaha
Hao wote uliotaja hapo juu hawamfikii Maestro.

Ila pia ukimuweka Maestro pembeni hao wengine hawamfikii Ambangile.
 
watu wanachanganyakiwa na kitu kimoja, ambangile anaongea kinadharia sana, mara nyingi haziwi real, anajua kuelezea mpira ulivyokuwa, hapo kawazidi wachambuzi wengi, tena anawazidi hata makocha wenyewe wenye timu zao-ubaya wa nadharia bana unakuwa unajua kila kitu , ila ukitaka uchambuzi halisi wa kimpira ambao haupo kinadharia upo kihalisi msikilize dokta liki, maestro na dogo ali kamwe kwa mbali anakuja kuja.
 
Ambangile ni coach pia by profession.
 
Mkuu umenikumbusha Dr Licky.

Huyo mzee balaa.

Nakumbuka sku moja alimchambua Genaro Gattuso kwa kila kitu
Tuliokuwa tunaangalia ile fainali tulibaki kuenjoy
 
Hivi bwana mdogo pale wasafi upo kitengo gan?
Kila siku unaimba na kusifu wasafi au wewe ndio baba levo?
 
Utafiti gani umefanya ukaona yy ndo no1?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…