Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Afu unajua drammar za wasaf kwel au mahaba?Mchambuzi nambari moja wa soka hapa Tanzania, George Ambangile PhD amezawadiwa gari kwa mtindo wa surprise.
Ambangile ambaye amefanikiwa kuzima vipindi vyote vya uchambuzi wa soka bongo, amekuwa kipenzi cha wanakandanda kwa ustadi wake mkubwa wa kuifundisha soka redioni maana anachofanya ni zaidi ya uchambuzi anakufanya msikilizaji uelewe, ukujumuike kiwanjani na uone soka ni mchezo rahisi sana na wakuinjoi.
Hii ni muendelezo wa wasafi media kuwapa motisha wafanyakazi wanaofanya vizuri.
MaRaia wanasema bado Sanya!
View attachment 1766420
YesHvi hamna zawadi nyingine ni gari tuuu ? Kila mtu anapewa gari duuh..... Kuna nin nyuma ya pazia kwenye hzi gar ..au ndo ibada yetu ileeeee...ngoja tuone kuna watu watazitapika hzo gar mbeleni
Nyumba ndo mchongo ndo maana mavoko altaka geto wakaona halina ujiko kwaoSasa wewe ulitaka watu wapewe zawadi gani? haya basi kawachagulie zawadi za kutoa mnawqza shirki tu wabongo ndio maana amuendelei.
Kwa Shaff ajpangeWe jamaa ufikishaji wako wa habari huwa unawaumiza sana haters.
DeservesHe deserve it
CrownHii ni gari gani?
Mtutajie aina ya gari maana picha haonyeshi vizuri kwa nyuma
Ukijua itakusaidia nini wewe komaa na maisha yako fankulo dialoHivi bwana mdogo pale wasafi upo kitengo gan?
Kila siku unaimba na kusifu wasafi au wewe ndio baba levo?
mwl kashasha nikimtazama kafanana na meme ππkwa hiyo anamzidi mwalimu kashasha ngoja nimuangalie YouTube
Hongera sanaCrown
Unanipa mimi au huyo mchambuzi?Hongera sana
Hongera sana kwa AmbangileUnanipa mimi au huyo mchambuzi?
Unanipa mimi au huyo mchambuzi?Hongera sana
Hivyo ndio unavyotakiwa useme sio unaishia KatiHongera sana kwa Ambangile
Crown fm au!?Crown
Crown gariCrown fm au!?