General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,868
- 2,210
Hivi mkuu una ka video ka huyo dogoSio yeye aliyeizizimisha dunia bali ni tukio alilofanyiwa ndo limeshock the entire world ukizingatia race yake na ya mtu aliyemfanyia kitendo kile.Watu wamelichukulia kama mwendelezo wa ukandamizaji wa whites dhidi ya black.Na ile picha ya tukio imetoa themes nyingi za kutosha...
Hii mkuu imetokea miaka ya 1930/40s but kuna video moja ipo humu humu ilikuja na mada kumuhusu huyu dogo sasa sijui kama ilikuwa original au act.Hivi mkuu una ka video ka huyo dogo
Tupia hapa mkuuHapana nina picha zake,picha za tukio na maelezo ya mkasa wenyewe.
Mkuu unaweza kusaidia japo jina lake tukalipata?Hapana nina picha zake,picha za tukio na maelezo ya mkasa wenyewe.
Mtu wa dini gani anatomboana hadharani Dunia nzima inaona?Boss wake wa mwisho kabisa alihojiwa na kusema jamaa alikuwa mtu wa dini na mtu poa sana, hana tatizo na mtu!
Watu wana hasira ila tu hawajapata mwanya wa kuzitoa hasira zao Sasa kwa huyu jamaa ikawa ndo Kama mlango wa wao kutoa hasira zaoDah..
Sema kwanini reaction yote hii!?
Who was He!?
Sio nyie mnaopigaga makofi kwenye nyumba zenu za ibada pale mnaposikia ushuhuda kuwa mtu kaacha kufanya dhambi eg kuacha wizi uzinzi etc?Mtu wa dini gani anatomboana hadharani Dunia nzima inaona?
porn ni zile filamu za ngono ?
Nshaweka tayari.Mkuu unaweza kusaidia japo jina lake tukalipata?
Ila jamaa nae alilegea sana kwa hyo pale alishindwa kurusha ngumi kwa wale polisi
Mshana Jr, wewe ni mtu unaye heshimika sana hapa JF; mambo mengine potezea ili kulinda hadhi yako!Naambiwa jamaa alikuwa na mashine.. Halafu muuaji alikuwa na kibamia.. Hapo kabla walikuwa wote ma baunsa kwenye night club moja wakipiga kazi... Demu wa kitasha chakula ya musungu ikamkimbia mwana na kwenda kwa Floyd... Bifu lilianzia hapo... Mengine sifahamu
Jr[emoji769]
Duh.....asante mkuu
Jamaa alifungwa pingu mkononi mzee zipo video, Flyde alikuwa tayari amesha pigwa pingu mkononi kwa nyuma ndiyo maana hata kunyanyuka alishindwaIla jamaa nae alilegea sana kwa hyo pale alishindwa kurusha ngumi kwa wale polisi
Angeziondoa videos zake XVid.Sio nyie mnaopigaga makofi kwenye nyumba zenu za ibada pale mnaposikia ushuhuda kuwa mtu kaacha kufanya dhambi eg kuacha wizi uzinzi etc?
Kwanini isiwe na huyu aliacha mambo hayo akamrejea Mungu wake?kipi kinakufanya usiamini hivyo?
Mkuu wewe kwa siku huwa unatenda makosa mangapi dhidi ya muumba wako? Mwezio kafa kifo kizuri huenda alipata muda wa kutubu,si vizuri kumsema marehemu mabaya yakebaada ya ku-google na kutambua kuwa jamaa alikuwa mfiraji yaani siku yangu imeharibika kabisaa, huruma yangu kwake imepotea kabisa na kwa kweli alistahili kuuwa tena kwa kuchomwa moto kama Mwenyezi Mungu alivyo fanya kwa watu wa sodoma naoa gomora!
Jibu murua kabisa.Sawa sawa mpishi wa Mungu,duniani mpo watu mnajiona kabisa kwamba sometimes mnakaa meza moja na Mungu mna-discuss mawili matatu kuhusu dhambi za dunia hii,hivi wewe dhambi huna?
Wazinzi wangapi tunawazika!!!hata wewe hapo unaweza kuta ni mzinzi mmoja umeamua tu ujifariji kumuhukumu mwenzako but tofauti yake na wewe yeye alizini akaingiza pesa wewe unazini unalipa hela.
Pathetic....acha ujinga!