George Floyd (RIP) ni nani, alikuwa anajishughulisha na nini?

George Floyd (RIP) ni nani, alikuwa anajishughulisha na nini?

Sio yeye aliyeizizimisha dunia bali ni tukio alilofanyiwa ndo limeshock the entire world ukizingatia race yake na ya mtu aliyemfanyia kitendo kile.Watu wamelichukulia kama mwendelezo wa ukandamizaji wa whites dhidi ya black.Na ile picha ya tukio imetoa themes nyingi za kutosha...
Hivi mkuu una ka video ka huyo dogo
 
Kulikuwa hakuna haja ya kifungua uzi kuuliza swali hilo. Ungefungua tu google zimejaa habari zake kila kona.
 
Dah..

Sema kwanini reaction yote hii!?
Who was He!?
Watu wana hasira ila tu hawajapata mwanya wa kuzitoa hasira zao Sasa kwa huyu jamaa ikawa ndo Kama mlango wa wao kutoa hasira zao
 
Tupia hapa mkuu
Mkasa wote upo hapa

George Stinney - Wikipedia
140122183159-erin-dnt-mattingly-george-stinney-case-revisited-00005306-story-top.jpg
 
Watu wanaocheza x za habib show mara nyingi huwa si wacheza x waliokubuhu yaani si wale ambao x wamezifanya kama ajira zao, mara nyingi huwa ni watu tu wenye mishe zao tu za hapa na pale, ila yule jamaa habib hutafuta mtu anamtangazia dau wanacheza x, kwa huyo big floyd alikuwa na mishe zake nyingine, si kwamba x ndo kazi yake
 
Naambiwa jamaa alikuwa na mashine.. Halafu muuaji alikuwa na kibamia.. Hapo kabla walikuwa wote ma baunsa kwenye night club moja wakipiga kazi... Demu wa kitasha chakula ya musungu ikamkimbia mwana na kwenda kwa Floyd... Bifu lilianzia hapo... Mengine sifahamu

Jr[emoji769]
Mshana Jr, wewe ni mtu unaye heshimika sana hapa JF; mambo mengine potezea ili kulinda hadhi yako!
 
Sio nyie mnaopigaga makofi kwenye nyumba zenu za ibada pale mnaposikia ushuhuda kuwa mtu kaacha kufanya dhambi eg kuacha wizi uzinzi etc?

Kwanini isiwe na huyu aliacha mambo hayo akamrejea Mungu wake?kipi kinakufanya usiamini hivyo?
Angeziondoa videos zake XVid.
 
baada ya ku-google na kutambua kuwa jamaa alikuwa mfiraji yaani siku yangu imeharibika kabisaa, huruma yangu kwake imepotea kabisa na kwa kweli alistahili kuuwa tena kwa kuchomwa moto kama Mwenyezi Mungu alivyo fanya kwa watu wa sodoma naoa gomora!
Mkuu wewe kwa siku huwa unatenda makosa mangapi dhidi ya muumba wako? Mwezio kafa kifo kizuri huenda alipata muda wa kutubu,si vizuri kumsema marehemu mabaya yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa sawa mpishi wa Mungu,duniani mpo watu mnajiona kabisa kwamba sometimes mnakaa meza moja na Mungu mna-discuss mawili matatu kuhusu dhambi za dunia hii,hivi wewe dhambi huna?

Wazinzi wangapi tunawazika!!!hata wewe hapo unaweza kuta ni mzinzi mmoja umeamua tu ujifariji kumuhukumu mwenzako but tofauti yake na wewe yeye alizini akaingiza pesa wewe unazini unalipa hela.

Pathetic....acha ujinga!
Jibu murua kabisa.
 
Back
Top Bottom