KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Ila jamaa nae alilegea sana kwa hyo pale alishindwa kurusha ngumi kwa wale polisi
So painful those statements.exactly..
please,i cant breath.!!
mama,mamaa...officer,Sir
i give up.!?
Hiyo ni ishara ya mtu kuwa innocent hakua na makuu hata alipolazwa chini na kuanza kukabwa alilalamika lakini hakua na uwezo wa kuwaondoa askari watatu alishachelewa.Ila jamaa nae alilegea sana kwa hyo pale alishindwa kurusha ngumi kwa wale polisi
The bible says judge not Rasta.baada ya ku-google na kutambua kuwa jamaa alikuwa mfiraji yaani siku yangu imeharibika kabisaa, huruma yangu kwake imepotea kabisa na kwa kweli alistahili kuuwa tena kwa kuchomwa moto kama Mwenyezi Mungu alivyo fanya kwa watu wa sodoma naoa gomora!
Dini gani ya kua mcheza pornography na baunsa wa club?
We umejuaje Kama na wao ni wazinzi? Uliwaona wakizini?WAZINZI WA GIZANI WANATOA HUKUMU KWA WAZINZI WA KWENYE MWANGA!
Huyu jamaa hakuwa saint bana, tuache unafiki, ukiachilia mbali kucheza porn, alikuwa pia mtumiaji wa madawa kwani alikutwa nayo kwenye damu, pia alikuwa amekamatwa kwa kutoa hela ya bandia, na alikuwa ameshafungwa jela kablaUnaniuliza mimi? Wewe hujawahi kuzini na bado unamwamini Mungu wako? Mbona mna hila waswahili?
Ushaambiwa aliacha, akatubia, akarudi kwenye maisha ya kawaida! Sasa sijui kama kazi ya ubaunsa wa kulinda watu wasidhuriane club au kuhakiki wanaoingia kama wamelipa ni kazi ya motoni! Ulitaka afe njaa?
Unadhani mpaka anakufa channel ya kurudi kwenye porn industry kama angetaka angeshindwa? Yeye akaamua kushinda kanisani,
Hiyo marehemu kuwa mtu wa dini kwani uliwahi sikia marehemu anasemwa vibayaAliwahi kuwa mcheza filamu za ngono lakini aliacha na mpaka mauti yanamkuta alikuwa ni baunsa katika club/ ukumbi wa starehe!
Alikuwa amesimamishwa kazi kutokana na kufungwa shughuli zote kunakotokana na madhara ya corona!
Boss wake wa mwisho kabisa alihojiwa na kusema jamaa alikuwa mtu wa dini na mtu poa sana, hana tatizo na mtu!
Alikataa,Mbona Gwajima alitombqqqq dunia nzima ikasikia mkito twatwatwa na wiki iliyofuata akaalikwa ikulu.
Alikuwa imefungwa pinguIla jamaa nae alilegea sana kwa hyo pale alishindwa kurusha ngumi kwa wale polisi
PoleniAlikua msabato
Mangi hakopeshi mfanyie kwa m-pesa hapo kaaa vip!!Bro kunywa soda kwa Mangi nitalipa mimi