George Floyd (RIP) ni nani, alikuwa anajishughulisha na nini?

George Floyd (RIP) ni nani, alikuwa anajishughulisha na nini?

Shark,

Ohoooo! Soma vizuri mtiririko! Alishaacha akamrudia Muumba wake na kuwa tofauti kabisa na ndiyo maana ameagwa na kanisa kwa heshima maana shughuli za kanisani alikuwa hakosekani!

Swala la video ni ishu ya copy right alikuwa anafanya chini ya kampuni amabazo ndiyo zina mamlaka ya kuzitoa au kuziacha!

Hayo mengine, simo mkuu!
 
Bac ndio maana alikufa kilaini alizoea kuwakunja magoti wenzie

Kakunjiwa yeye tu kidogo dk8 tayari kazima.. ila nikumwombea tu baraka za Mungu alipoo kwa sasa ndio njia moja hiyo tutakutana tu
 
Ila jamaa nae alilegea sana kwa hyo pale alishindwa kurusha ngumi kwa wale polisi
Hiyo ni ishara ya mtu kuwa innocent hakua na makuu hata alipolazwa chini na kuanza kukabwa alilalamika lakini hakua na uwezo wa kuwaondoa askari watatu alishachelewa.
 
baada ya ku-google na kutambua kuwa jamaa alikuwa mfiraji yaani siku yangu imeharibika kabisaa, huruma yangu kwake imepotea kabisa na kwa kweli alistahili kuuwa tena kwa kuchomwa moto kama Mwenyezi Mungu alivyo fanya kwa watu wa sodoma naoa gomora!
The bible says judge not Rasta.
 
Dini gani ya kua mcheza pornography na baunsa wa club?

Unaniuliza mimi? Wewe hujawahi kuzini na bado unamwamini Mungu wako? Mbona mna hila waswahili?

Ushaambiwa aliacha, akatubia, akarudi kwenye maisha ya kawaida! Sasa sijui kama kazi ya ubaunsa wa kulinda watu wasidhuriane club au kuhakiki wanaoingia kama wamelipa ni kazi ya motoni! Ulitaka afe njaa?

Unadhani mpaka anakufa channel ya kurudi kwenye porn industry kama angetaka angeshindwa? Yeye akaamua kushinda kanisani,
 
Huyu jamaa hakuwa saint bana, tuache unafiki, ukiachilia mbali kucheza porn, alikuwa pia mtumiaji wa madawa kwani alikutwa nayo kwenye damu, pia alikuwa amekamatwa kwa kutoa hela ya bandia, na alikuwa ameshafungwa jela kabla

Lakini licha ya yote hayo, sio kwamba alistahili kufanyiwa vile, alichofanyiwa Ni unyama, lakini pia tuwe real
 
Aliwahi kuwa mcheza filamu za ngono lakini aliacha na mpaka mauti yanamkuta alikuwa ni baunsa katika club/ ukumbi wa starehe!

Alikuwa amesimamishwa kazi kutokana na kufungwa shughuli zote kunakotokana na madhara ya corona!

Boss wake wa mwisho kabisa alihojiwa na kusema jamaa alikuwa mtu wa dini na mtu poa sana, hana tatizo na mtu!
Hiyo marehemu kuwa mtu wa dini kwani uliwahi sikia marehemu anasemwa vibaya
 
Back
Top Bottom