George Simbachawene ni nani hasa?

Shida yetu kubwa watanzania ni kutotoa nafasi kwa pool kubwa ya raia ili waweze kuonyesha vipaji vyao kiasi ambacho hatuna set kubwa ya choice...Na wanaopata nafasi wanafanya juhudi sana kubakia wenyewe ili ionekane hakuna wengine...Tabia hii ina cost nchi na watu wote kwa ujumla tunabakia kwenye umasikini usio na suluhu...Sijui hizi tabia zitakomaje!
 
Ni mpigaji na muwakilishi wa waruguru!
 
Huyu Mzee kashajadiliwa sana humu, tafute nyuzi zake. Ni Mzalendo amehudumu tangu enzi za Nyerere na kila Rais aliyefuata mpaka sasa
Mzee simuelewagi vizuri, wakati mwingine anaonekana mwema wakati mwingine kama vile hana analojua, ila yupo composed....Nilifanya naye kazi akiwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga nika m define vibaya sana kuna namna alinikwaza katika ujenzi wa nyumba za wakimbizi wale wa Chogo. Lakini ipo siku kuna ndugu yangu alikamatwa na mpambe wa JPM, very recent kabla ya umauti wa JPM, yeye ndiye aliyemtoa kwenye ile kadhia nikamwona ana busara sana....Any way Salute mzee!
 
Anawasaidia kina nani? Wataje baadhi tu hapa na nikwambie kitu kimoja tu kuwa hujui kitu Jimbo lake lina umasikini mkubwa sana hana msaada wowote barabara hakuna ni jambo la kumshukuru sana huyu Diwani wa Kata ya Galigali ambaye naona kambana kupeleka TARURA kidogo caravats zinatengenezwa barabara za kinusi,Matonya, Galigali maana Vijiji hivi vina utajiri mkubwa sana wa vyakula, madini, uoto wa asili, maporomoko yenye kuvutia utalii wa ndani na nje. Wewe utakuwa chawa ndo maana unatetea upuuzi jimbo la Kibakwa ni moja ya majimbo yenye umaskini mkubwa Nchini kutokana na kutokuwa na miundo mbinu yenye kuridhisha tunaishi Mikoa ya watu nimetembea Wilaya za Nchi nzima hakuna jimbo lipo nyuma kama Kibabwe sasa tafuta lako alafu njoo nalo hapa tujadili.
 
Huyu jamaa kwa ndumba yuko vizur sana nlishapewa na mtu anayekaa jiran yake Kinyerezi mtaa wa Zimbiri jamaa analeta Makalumanzila Mchana Kweupe wamepiga makaniki yao meusi wanafanya yao bila stress
Brother siku hizi wengine hufanya hivyo kama biti ili mtu asikuchezee si unajua wa tz wanaogopa sana uchawi na wengine huenda mbali na kudhurika
 
Huyo ndio roho ya nchi hii katika KU set viongozi wanaoshika hatamu tangu enzi za nyerere na baada ya nyerere kuondoka akabaki kama mtu muhimu hadi Leo!

Nadhani atakua ameandaa Mbadala wake pale atakaporudi kule alipotoka na kwa umri wake na vingi alivofanyia taifa ana uwezo wa kufanya self destruction kwa maslahi ya taifa lake!!
 
Ahsante
 
Bado ni binadamu
 
Inafaa aandike kitabu kututia moyo ma-hustlers wengine. Au japo mahojiano au kwenye majukwaa ya vijana
 
Basi Upepo unaweza kumfikisha mbali nikiangalia wizara alizopitia
 
Unakumbuka sekeseke lalisu kula chuma nae alijiuzulu
Hapana! Sio kwenye sekeseke la Lissu bwana! Akiwa Waziri wa Tamisemi, alitajwa kuhusika na uzembe kwenye report ya Prof Osro kuwa akiwa Waziri wa Madini enzi wa Jakaya aliachia mali zetu zikasepa tu hivi hivi! Ndiyo maana aliachia ngazi yeye na Prof Muhongo
 
Ila mkuu Kama sikosei hii report ikikabidhiwa na na lisu alikula chuma ila sababu ya huyu bwana kujitoa ilikuwa ndo hilo ulilolieleza hapo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…