Shida yetu kubwa watanzania ni kutotoa nafasi kwa pool kubwa ya raia ili waweze kuonyesha vipaji vyao kiasi ambacho hatuna set kubwa ya choice...Na wanaopata nafasi wanafanya juhudi sana kubakia wenyewe ili ionekane hakuna wengine...Tabia hii ina cost nchi na watu wote kwa ujumla tunabakia kwenye umasikini usio na suluhu...Sijui hizi tabia zitakomaje!