George Simbachawene ni nani hasa?

Najua kama binadamu hakosi mapungufu lakini anaonekana ni mtu mtaratibu, hekima na busa nyingi mbali ya kuonekana kuwa na elimu ya kawaida.
Usimtengenezee mazingira ya kuumizwa na timu tamaa ya 2030
 
Aiseee! Okay asante! Nitakuwa sikuweza kuipata hii! Asante sana kwa ugirigimbi hu
 
Alikua kondakta kwenye mabasi ya urafiki tajiri alikua joseph chove mtu wa iringa .Dodoma hiyo miaka ya 80 mwishoni kuendea 90..
 
Waamini ushirikina ni nadra kukosa vyeo.
Umenikumbusha huyu jamaa enzi hizo kondakta... alikua mpambanaji mpaka kuukwaa ukubwa wa makondakta... akaunga unga sana kusoma hatimaye akapata digrii ya sheria open University..

Ni mshirikina mno na mtu wa kujipenyeza na kujipendekeza.
 
Miaka ya 90 mwanzoni alikuwa anasomea ufundi mchundo, Arusha Technical College...
Sawa nadhani baada ya kuachana na biashara ya mabasi akaamua kwenda shule. Jamaa kwa kifupi ni fighter sana yani ukisiki ile self-made ndo hii sasa ni mfano wa kuigwa kwa vijana wa leo.
 
Sawa nadhani baada ya kuachana na biashara ya mabasi akaamua kwenda shule. Jamaa kwa kifupi ni fighter sana yani ukisiki ile self-made ndo hii sasa ni mfano wa kuigwa kwa vijana wa leo.
Au ni baada ya kutoka college...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…