George Simbachawene ni nani hasa?

George Simbachawene ni nani hasa?

Kaka Unasema umetembelea wilaya zote hakuna Jimbo masikini kama Jimbo la kibakwe. Nakuomba ukipata muda tembelea na wilaya zilizoko mkoa wa kigoma,tabora,Katavi halafu njoo tena na hoja yako kuwa kibakwe ni Jimbo masikini zaid ya mengine.
Ninavyoongea nawe hapa nipo Kigoma jimbo la Kigoma Kusini sehemu inaitwa Rukoma Wilaya ya Uvinza almost 3 weeks now na nimekuwa nikija huku kila miezi 6 huwezi linganisha na Kibakwe bro, Buhigwe, Kasulu TC na DC kote,Kibondo,Kakonko kote na Vijiji vyake huko bado bro
 
Kwenye maisha kuna watu wana upepo tu unaweza ukafikiria ana ndumba kumbe wala hata hategemei ndumba na ndio hao ambao wanayumba yumba sana kazini.

Akipewa anafasi anakaa kwa mda flani anafitiniwa anatoka. Ila hakai sana anapata nyengine anafanya napo wakimfitini anaondolewa. Nahisi ndio aina ya personality ya Simbachawene. Unakuta hanaga noma na mtu ila wabongo wivu ukiwa na cheo ni kawaida.

Weeee mie mwenyewe nawajua waganga wake na mpambe wake anayemtafutiaga waganga! Kama sivyo angeshakua kama mwakyembe
 
IMG_20230123_191337_183.jpg

IMG_20230123_191337_183.jpg
 
Kaka Unasema umetembelea wilaya zote hakuna Jimbo masikini kama Jimbo la kibakwe. Nakuomba ukipata muda tembelea na wilaya zilizoko mkoa wa kigoma,tabora,Katavi halafu njoo tena na hoja yako kuwa kibakwe ni Jimbo masikini zaid ya mengine.
Ninavyoongea nawe hapa nipo Kigoma jimbo la Kigoma Kusini sehemu inaitwa Rukoma Wilaya ya Uvinza almost 3 weeks now na nimekuwa nikija huku kila miezi 6 huwezi linganisha na Kibakwe bro, Buhigwe, Kasulu TC na DC kote,Kibondo,Kakonko kote na Vijiji vyake huko wapo vyema huko bado bro
 
NI mmoja ya mawaziri waliodumu katika Baraza la Mawaziri tangu awamu ya JK, Magufuli na sasa Mama, pamoja na panga pangua za baraza la mawaziri

View attachment 2551539

Na ameshapewa majukumu Wizara ya Utumishi , Wizara Mambo ya ndani, Waziri ofisi ya Waziri Mkuu. Moja ya Wizara ziliozokaribu kiutendaji na Ikulu

Ni nani hasa? Safari yake ya kisiasa na utumishi serikalini ikoje? Najua kama binadamu hakosi mapungufu lakini anaonekana ni mtu mtaratibu, hekima na busa nyingi mbali ya kuonekana kuwa na elimu ya kawaida.

Bila shaka inahitaji Uzalendo usio na mashaka kusurvive mabaraza ya marais watatu
Unapenda kusikia ni TS
 
Kaka Unasema umetembelea wilaya zote hakuna Jimbo masikini kama Jimbo la kibakwe. Nakuomba ukipata muda tembelea na wilaya zilizoko mkoa wa kigoma,tabora,Katavi halafu njoo tena na hoja yako kuwa kibakwe ni Jimbo masikini zaid ya mengine.
Usitafute ligi nami ukiwa na muda PM tuyajenge nikupe mbinu za kukomboa Kibakwe na Kata zake
 
Huyo jamaa hakuwahi kuwa waziri wakati wa JK.
Uwaziri wake aliuanzia Kwa JPM akiwa nishati na alidumu Kwa miezi 10 tu kwenye hiyo wizara, akatumbuliwa baada ya mwezi akaenda akawa waziri ofisi ya raisi.

Kwa kifupi hakuna wizara huyu jamaa amekaa zaidi ya miaka 2. Labda awamu hii
Kwa JK alikuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini.
 
Hamumjui vizuri huyo mzee... ni mkali vibaya mno na ni kauzu ile mbaya!

Picha linaanza yuko vizuri financially na hakuna mtoto wake yoyote aliyesoma nje ya nchi na yuko strictly vibaya mno kwenye malezi ya watoto.

Ni wakubwa serikalini hao, wale watiifu na wanaojituma + wachapakazi na wanajitambua.


Huwa hapendi Kiki za kijinga na za kishamba. Yuko kwenye orodha ya marais wajao miaka mingi ijayo... anaandaliwa nafkiri.


Ana mwanae wa kiume anaitwa "James Simbachawene" naona huyu kijana alikata kamba, kunyoanyoa vipanki na kuvaa visuruali vya kubana... kalisoma chuo cha usimamizi wa fedha haka kakijana. Kanajaribu kujifanya kahuni na kablazameni ila nafkiri mzee anapambana kukazaba kaache ujinga wake kawe kakijana smart kafuate nyayo za baba.

KONGOLE KWAKO MZEE SIMBACHAWENE 👍🏾
Rais wa nini? Manzese? Bado tu mnataka mafisadi wa mtandao watawale hii nchi?
 
Back
Top Bottom