George Simbachawene ni nani hasa?

George Simbachawene ni nani hasa?

Ahsante nimeelewa ndugu, japo naona ana nafasi lakini sijamuombea nisiwe mnafki najaribu tu kuangalia uhalisia
Kile kitendo tu cha wewe kumuona rohoni mwako kuwa anfaa; hayo tayari ni maombi, tena makubwa mno
 
ulitaka waliomsaidia wote awape pesa??
Kwao ni Mpwapwa Kijiji kinaitwa Pwaga Hana lolote. Watu liomsaidia kwenye kampeni wengi aliwapotezea.

Kama kuna mwenyeji was bwaga hapa atajazia
 
Ukisikia deep state ndio hawa hawa.

Simba Chawene ndiye aliyeongea na Mama viongozi wa Chadema waliokamatwa Mwanza wakati wa vugu vugu la Katiba Mpya waachiwe bila masharti.

Ni maneno ya Zito Zuberi Kabwe.
amerudi tena wizara nyeti
 
Huyo ndio roho ya nchi hii katika KU set viongozi wanaoshika hatamu tangu enzi za nyerere na baada ya nyerere kuondoka akabaki kama mtu muhimu hadi Leo!

Nadhani atakua ameandaa Mbadala wake pale atakaporudi kule alipotoka na kwa umri wake na vingi alivofanyia taifa ana uwezo wa kufanya self destruction kwa maslahi ya taifa lake!!
Watu wana privacy ya hali ya juu.
Familia yake ameitenganisha kabisa ba maswala ya siasa? Watoto zake ni akina nani? Na wanafanya nini au wapo wapi
 
Watu wana privacy ya hali ya juu.
Familia yake ameitenganisha kabisa ba maswala ya siasa? Watoto zake ni akina nani? Na wanafanya nini au wapo wapi
Unaweza kuta hata majina hajawawekea surname ya Mkuchika, anaweka George tu
 
Watu wanapata vyeo wanavyovipenda. Inaelekea watu wanajichagua,Ikulu inafanya rubber stamping.
 
Back
Top Bottom